Sijui hili Dongo ( Shombo ) la huyu Mhadhiri wangu wa ' Political Science ' alikuwa analiekeza Kwangu au labda kwa Wanafunzi wenzangu!

Mzukulu

JF-Expert Member
Feb 14, 2020
1,401
2,629
Kaingia akaanza zake kufundisha kama kawaida ila Mimi siku zote huwa nakuwa simsikilizi kivile kwani naona hata hamu yenyewe ya Kusoma sasa haipo tena na naingia tu Darasani ili nisionekane Mtoro na sina Nidhamu Kwake na mwishowe akaja Kunifelisha bure!

Ila wakati akifundisha katikati akaanza kuisema hii Kauli na akitikisa Kichwa chake ambayo kiukweli hadi sasa inanichanganya..

" Siku zote ukiona unaanza tu Kutengwa na Marafiki au Majirani zako jua ya kwamba Mosi wameshakuona ni Mpumbavu, Pili wameshakudharau na Tatu huenda wakawa wameshagundua labda utakuwa na matatizo ya Akili hivyo suluhu yao Kwako ni Kukutenga tu hadi ukijishtukia " alisema Mhadhiri wangu maarufu Chuoni aitwae Bwana. Afrikamashariki Utengamano.

Na kilichonishtua zaidi ni kwamba muda wote alipokuwa akisema hivi Macho yake yaliyo Makali sana aliyaelekezea Kwangu tu.
 
Huyo mwalimu wako ana elimu gani? Kwa tunaoishi uswahilini na kubahatika kuwa na pesa ya kubadilisha mboga tunajua kuwa mtu unaweza kutengwa kisa unakula mayai na nyama mara nyingi zaidi kuliko majirani zao.

Kwani kuna Mwalimu ( Mhadhiri ) wa Chuo Kikuu asiye na Doctorate ( PhD ) Ndugu? Umeuliza Swali lako Kiupumbavu sana tu.
 
Elimu sio madarasa mengii ni uwezo kutumia maarifa ktk mazingira sahihi. Leo Kagame Asubuhi kaendesha kikao cha EAC na jioni hii kashiriki kikao kengine kilicho itishwa na Au cha uongozi wa Kikanda ambacho alistahili kuhudhuria Magufuli.
Sasa nikajiuliza huyu Major Paul Kagame amesha mpindua Mwenyekiti wa SADC ? Mwenye Akili atajua nini maana yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo Mhadhiri wako atakuwa ni Profesa Msigwa Antipas Mbowe.

" Siku zote ukiona unaanza tu Kutengwa na Marafiki au Majirani zako jua ya kwamba Mosi wameshakuona ni Mpumbavu, Pili wameshakudharau na Tatu huenda wakawa wameshagundua labda utakuwa na matatizo ya Akili hivyo suluhu yao Kwako ni Kukutenga tu hadi ukijishtukia " alisema Mhadhiri wangu maarufu Chuoni aitwae Bwana. Afrikamashariki Utengamano.
 
Elimu sio madarasa mengii ni uwezo kutumia maarifa ktk mazingira sahihi. Leo Kagame Asubuhi kaendesha kikao cha EAC na jioni hii kashiriki kikao kengine kilicho itishwa na Au cha uongozi wa Kikanda ambacho alistahili kuhudhuria Magufuli.
Sasa nikajiuliza huyu Major Paul Kagame amesha mpindua Mwenyekiti wa SADC ? Mwenye Akili atajua nini maana yake.

Sent using Jamii Forums mobile app

" Siku zote ukiona unaanza tu Kutengwa na Marafiki au Majirani zako jua ya kwamba Mosi wameshakuona ni Mpumbavu, Pili wameshakudharau na Tatu huenda wakawa wameshagundua labda utakuwa na matatizo ya Akili hivyo suluhu yao Kwako ni Kukutenga tu hadi ukijishtukia " alisema Mhadhiri wangu maarufu Chuoni aitwae Bwana. Afrikamashariki Utengamano.
 
Kwani kuna Mwalimu ( Mhadhiri ) wa Chuo Kikuu asiye na Doctorate ( PhD ) Ndugu? Umeuliza Swali lako Kiupumbavu sana tu.
Sio upumbavu ndugu ila tunatofautiana uelewa wa haya mambo, wahadhiri wasio na PhD ni wengi wa kutosha. Lakini kama huyo wakwako ana PhD na bado hawezi kutengeneza falsafa bali falacies of generalisations basi komaa na vitabu madesa yake yatakupoteza.
 
" Siku zote ukiona unaanza tu Kutengwa na Marafiki au Majirani zako jua ya kwamba Mosi wameshakuona ni Mpumbavu, Pili wameshakudharau na Tatu huenda wakawa wameshagundua labda utakuwa na matatizo ya Akili hivyo suluhu yao Kwako ni Kukutenga tu hadi ukijishtukia " alisema Mhadhiri wangu maarufu Chuoni aitwae Bwana. Afrikamashariki Utengamano.
Juzi nimemsikia mhadhiri akimtukana Mwandishi alie muuliza swali jibu likawa wewe mpumbavu sana hapo nikakumbuka kiongozi aliyetamka hadharani kuwa anamtukanaga sana mpumbavu huyo ni huyo huyo
 
Macho yake yasikutishe,huwa ana makengeza,kwa kuwa mtu aliyejaaliwa kuwa na makengeza unaweza ukadhani anakutazama wewe kumbe wala hana mpango na wewe kabisa,usiogope Mkuu!
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom