Ranks JF-Expert Member Oct 21, 2012 2,583 1,097 Dec 24, 2016 #2 Ayaa!C useme tu ni uncle mkali anajaza maji kwenye pakacha.
elineema William JF-Expert Member May 2, 2015 577 288 Dec 25, 2016 #5 Saa zngine n mawazo wala sio bangi akiwaza maisha alioishi nyuma na saiv lazma ufanye kituko cha kufungia mwaka
Saa zngine n mawazo wala sio bangi akiwaza maisha alioishi nyuma na saiv lazma ufanye kituko cha kufungia mwaka
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Dec 14, 2016 13,992 31,695 Dec 26, 2016 #7 Hapo katumia usemi usemao kuvuja kwa pakacha naye anataka asipate kazi ngumu ya kubeba
busy bees JF-Expert Member Aug 26, 2016 2,249 1,332 Dec 26, 2016 Thread starter #8 Ranks said: Ayaa!C useme tu ni uncle mkali anajaza maji kwenye pakacha. Click to expand... ndo bangi yenyewe hiyo
Ranks said: Ayaa!C useme tu ni uncle mkali anajaza maji kwenye pakacha. Click to expand... ndo bangi yenyewe hiyo
busy bees JF-Expert Member Aug 26, 2016 2,249 1,332 Dec 26, 2016 Thread starter #9 Bwanshe56 said: Namba aliyoisoma ni hatari Click to expand... Kumbe kasoma namba eeee ....
busy bees JF-Expert Member Aug 26, 2016 2,249 1,332 Dec 26, 2016 Thread starter #10 Mndali ndanyelakakomu said: Hapo katumia usemi usemao kuvuja kwa pakacha naye anataka asipate kazi ngumu ya kubeba Click to expand... " ........ nafuu ya mchukuzi ..." anabeba chombo kitupu kisicho na maji anasepa nmeipenda hiyo
Mndali ndanyelakakomu said: Hapo katumia usemi usemao kuvuja kwa pakacha naye anataka asipate kazi ngumu ya kubeba Click to expand... " ........ nafuu ya mchukuzi ..." anabeba chombo kitupu kisicho na maji anasepa nmeipenda hiyo
Ranks JF-Expert Member Oct 21, 2012 2,583 1,097 Dec 26, 2016 #12 busy bees said: ndo bangi yenyewe hiyo Click to expand... Ama kweli,WATANZANIA wachape kazi waache mambo ya sport sport,na hamna cha bure hapa.
busy bees said: ndo bangi yenyewe hiyo Click to expand... Ama kweli,WATANZANIA wachape kazi waache mambo ya sport sport,na hamna cha bure hapa.