Sijui hapa kuna ukweli kiasi gani

CELLULAIRE

Member
Mar 16, 2016
76
97
Kwamba ukiona wanawake wanaenda sana nyumba za ibada na wanakuwa wacha Mungu jua ya kwamba huko nyuma walikuwa hawajatulia.

Wameshafanya kila aina ya ukatili hasa kwa wanaume mbalimbali. Wametoa mimba zisizo na idadi na kwamba wameroga hadi hata Shetani mwenyewe amebaki kuwashangaa.

Na kwamba ukiona wanaume wamebadilika na kuwa wacha Mungu na wanafanya sana Ibada jua ya kwamba wameshaiba sana kwa ujambazi, walikuwa ni mafisadi huko walikokuwa makazini mwao, wameshatembea na wake za watu bila huruma, wamedanganya sana na wameshafumaniwa vya kutosha hadi kufikia hatua za kukoswakoswa kuuwawa au kufanyiwa vitendo vya Sodoma na Gomora.
 
Hakuna ukweli wowote. Angalia familia walizokulia kwanza. Kama familia ilikuw inaabudu sna na imemkuza katika njia ya ibada, naye hataiacha...!!! Labda itokee tu amekengeuka mwenyewe, lakini deep inside anakiwa na hofu ya Mungu
 
Na ukiona mwanaume kafikisha miaka 33 hajaoa ujue hapo kuna tatizo, na atakuwa kashatembea na wake za watu sana



Screenshot_20191108-210853.jpeg



Unforgetable
 
me nkiona punyeto inakarbia kuniua ndo ntaenda nyumba ya ibada.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom