Sijui chochote kuhusu anwani za makazi, nielewesheni bado sijachelewa

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
14,304
29,834
Habari za mda huu ndugu wana JF, nilikuwa kwenye masomo chuo x sasa tumefunga nipo kitaa lakini cha ajabu naskia tu kila mtu anaulizia kuhusu ajira za anwani ya makazi, nikiwauliza hawanipi majibu wanasema nifate masomo.

Nimekuja kwenu sisi nini ndugu Naombeni mniambie haraka iwezekanavyo mimi ni mzee wa kucheza na fursa staki kuikosa hii, popote nipo tayari kwenda maana nipo kitaa niponipo tu kama Lofa vile Sina jipya.
 
Upo chuo ujui anwani za makazi dogo vipi umezoea zile mishe za scholarship mambo ya green card au kutafuta madem wakizungu kama wewe ni kijana wa kiume ujafanya maana ungekuwa umepita uko ungejua

Sasa kwa ushauri google isome ujue sawa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom