Sijui ananitega au vp!

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Kuna mdada flan hv nilmpga sound ka miez 7 imepita akanikataa kwa kigezo cha kwamba ana msela wake na vle vle haijui vzr tabia yangu!wel,me nkamwambia isiwe tabu coz stil we cn be good frds,bac kuanzia pale 2kawa marafik wazur..

Imetokea juzi kati kaanzsha tabia ya mara kuniita honey, luv, swthat etc, kaanza kukagua cmu yangu na kila jina la msichana into my 4n anataka kumjua ni nani kwangu,ameenda mbali zaidi kaanza tabia ya kuninunia kila anaponiona natembea na gal mwingne barabarani!!sasa wakuu huyu mmanzi inakuaje au ndo kaingia kingi hvo?
 
Jamani huwezi soma hivyo vitendo ukajua kesha fall kwako kijana!!!!!!!!!!!!!!!
 
huyo anatengeneza mazingira ya kukuchuna.kama hauamin mwambie akupe game uone ka atakubali.wewe unacheza na wanawake.kwa hiyo wewe kuitwa honey?mwizi huyo.mia
 
huyo anatengeneza mazingira ya kukuchuna.kama hauamin mwambie akupe game uone ka atakubali.wewe unacheza na wanawake.kwa hiyo wewe kuitwa honey?mwizi huyo.mia
<br />
<br />
swala la kuchunana hapa kwangu mbona atachemka.
 
hana jipya huyo,alikuweka rezev sasa kule kumebuma ndo km ivo hiyo ndo styl ya wadada ckuiz
 
Kuna mdada flan hv nilmpga sound ka miez 7 imepita akanikataa kwa kigezo cha kwamba ana msela wake na vle vle haijui vzr tabia yangu!wel,me nkamwambia isiwe tabu coz stil we cn be good frds,bac kuanzia pale 2kawa marafik wazur..imetokea juzi kati kaanzsha tabia ya mara kuniita honey,luv, swthat etc,kaanza kukagua cmu yangu na kila jina la msichana into my 4n anataka kumjua ni nani kwangu,ameenda mbali zaidi kaanza tabia ya kuninunia kila anaponiona natembea na gal mwingne barabarani!!sasa wakuu huyu mmanzi inakuaje au ndo kaingia kingi hvo?
We vipi? unauliza mkaa una rangi gani!! .......ashakolea huyo.
 
Back
Top Bottom