Sijielewi elewi; kimsingi sijawahi kukaa na pesa zaidi ya wiki moja, nakuwa nimeshaivuruga yote

Pole namushauri uuze hio gar kwa milion 17au 14 kisha hizopesa tafuta kimradi uwekeze humo ...
Tabia ni ngumu kuubadilisha sema unapaswa kujifunza baadae kila kitu kitakuwa powa
 
Mkuu ishi maisha unayoishi,acha kijitesa ukipata pesa tumia kadri inavyowezekana maisha yenyewe hayaeleweki
 
Back
Top Bottom