Sijawahi sikia mtu akikaimu nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA taifa kulikoni?

Katika maajabu ya dunia sijawahi sikia nafasi ya mwenyekiti CHADEMA taifa ikikaimiwa na mtu mtu.Ina maana Mbowe huwa hasafiri hata siku moja kutwa yuko nchini kang`ang`ania kiti cha CHADEMA?
Mmmhhh mi mwenyewe sijasikia... Ngoja wenyewe wanaweza saidia kuhusu hilo..
 
Poor thnkng inamaana jpm akisafiri uenyekiti wake huwa unackia wapi kuwa kuna mtu amekaimu mwenyekiti ccm
 
kila chama kina taratibu zake ...... hangaika na chama chako ya chadema waachie chadema

Wewe nikome unajua mimi ni mlipa kodi ambaye kodi zangu CHADEMA huwa inazitumia kama ruzuku.Utaninyamazishaje mtu ninayekupa ruzuku na inasainiwa na waziri wa fedha na mwenyekiti wa CCM taifa ili CHAMA chako kiendelee kupumua.
 
Acha kuwa na akili kimagamba mwenyekiti wako akisafiri chama anamuachia nani? yaani umekaa kishabiki shabiki unaishia kuandika upuuzi. Hivi unajua maana ya kukaimu wewe?
 
Wewe nikome unajua mimi ni mlipa kodi ambaye kodi zangu CHADEMA huwa inazitumia kama ruzuku.Utaninyamazishaje mtu ninayekupa ruzuku na inasainiwa na waziri wa fedha na mwenyekiti wa CCM taifa ili CHAMA chako kiendelee kupumua.
ukome mwenyewe huko ccm kunamauchafu kibao huyaoni
 
Katika maajabu ya dunia sijawahi sikia nafasi ya mwenyekiti CHADEMA taifa ikikaimiwa na mtu mtu.Ina maana Mbowe huwa hasafiri hata siku moja kutwa yuko nchini kang`ang`ania kiti cha CHADEMA?

WA CCM ulisikia lini au wa ACT? These are internal communications within the organization they do not to go to the media
 
Katika maajabu ya dunia sijawahi sikia nafasi ya mwenyekiti CHADEMA taifa ikikaimiwa na mtu mtu.Ina maana Mbowe huwa hasafiri hata siku moja kutwa yuko nchini kang`ang`ania kiti cha CHADEMA?
Mnafurahiia upuuzi anaowafanyia CUF...jamaa yenu Pro pesa!
 
Katika maajabu ya dunia sijawahi sikia nafasi ya mwenyekiti CHADEMA taifa ikikaimiwa na mtu mtu.Ina maana Mbowe huwa hasafiri hata siku moja kutwa yuko nchini kang`ang`ania kiti cha CHADEMA?
Nafikiri kuna huja ya kuanzisha oparesheni UKUTA
 
Katika maajabu ya dunia sijawahi sikia nafasi ya mwenyekiti CHADEMA taifa ikikaimiwa na mtu mtu.Ina maana Mbowe huwa hasafiri hata siku moja kutwa yuko nchini kang`ang`ania kiti cha CHADEMA?

Nani aliyewahi kukaimu uenyekiti wa CCM taifa???????????????????????????
 
Katika maajabu ya dunia sijawahi sikia nafasi ya mwenyekiti CHADEMA taifa ikikaimiwa na mtu mtu.Ina maana Mbowe huwa hasafiri hata siku moja kutwa yuko nchini kang`ang`ania kiti cha CHADEMA?
ACHA KUINGILIA MAMBO AMBAYO HAYAKUHUSU......FANYA YAKO

OVA
 
Back
Top Bottom