Sijawahi shuhudia Mzungu amepandisha mashetani

Duuuh hata Mimi maybe wanapandisha kizungu Hakuna makelele
Wanayo sana tu sema huwa hawaplendi kwenye mikutano ya watoa mashetani.Wazungu huwa hawasali.Hata Tanzania mfano Dar es salaam wazungu wako wengi sana lakini kanisani hawakanyagi kabisa.
 
Wadau kuna yeyote humu alushawahi shuhudia mzungu amepandisha mashetani.

Mwenye vidio ya mzungu kutokewe na hilo tukio arushe humu

Ukitaka kujua hilo jiulize iwapo kwenye lugha zao hawana maneno yenye maana hiyo. Yakiwemo maana yake wamo, na kinyume chake ni sawa pia.
 
Mi sijawahi ona hata tajiri akitolewa mapepo...tunaotolewa mapepo ni wale wale kina sisi kina Mwajuma Ndala ndefu,kina Tupilikege Mwakingwe,kina Yosefu Ndaula.....dini tuliletewa na wazungu na waarabu awali sisi tulikua tunaabudu miti na mizimu,tukaambiwa ustarabu wa kidini ni huo wa wamisionari na waarabu,sasa tumeushikiria na kuukomalia hadi wenyewe waliotuletea tumewazidi na wanatushangaa...... contradictions za kiimani bado ni nyingi kila imani/dini wao ndio wanajiona ni bora zaidi ya wengine na wanajigamba kuwa wataiona pepo au mbingu....Islamic wao wanajiona ni bora zaidi ya wengine na imani nyingine hadi wamepewa kila aina ya majina kama "makafiri"n.k,na wao wana uhakika na pepo zaidi ya wengine..... Christianity nao ndio usiseme wanakushangaa kabisa wakiona wewe ni mwislamu wanaona umepotea na utaukosa ufalme wa mungu....sasa kama mungu tunae mtarget ni mmoja kwanini tunaanza kuparuana sisi kwa sisi hapa duniani?,tukiongea haya watu wengine hawatuelewi wanaona tumechanganyikiwa kabisa.....mimi wife nilishampiga stop kwenda kwenye hayo makongamano ya kutoana mapepo maana najua mengine ni utaperi tu....na wanawake ndio huwa wanajaa sijui ni kwanini?,....jamani let's be open minded,tuwe watu wakufikiria.....kumbuka leo hii ungezaliwa mikoa ya bara huko huenda ungerithi dini ya wazazi wako na mara nyingi huwa ni Ukiristu,na vilevile ungezaliwa maeneo ya Pwani au Visiwani ungerithi dini ya wazazi wako ambayo mara nyingi ingekua Uislamu....so tukumbuke dini ni mapokeo tu,hakuna haja ya kukejeriana wala kukwazana eti kisa mwenzio haamini sawa na wewe tuheshimiane tu.....waafrika tuna maarifa kidogo na hatutaki kusaka ukweli na kuhoji...nimeandika mpaka nimeenda nje ya mada nisameheni
 
Hata wenyewe huko wazungu wakiulizana kama walishawahi kumuona mtanzania kapandisha mashetani nahakika watakuwa hawajawahi kuona.
 
Jaribu kuangalia live sunday service za t.b joshua utaona!manake you tube utasema wametengeneza sasa we angalia ile inayorushwaga live utawaona wazungu kibao wanagaragara mapepo
Hata mimi nilikuwa na hiyo Imani kuwa mapepo ni ya waafrika tu,lakini nilipoanza kuangalia Emmanuel TV nikagundua hawana tofauti na sisi,tena inawezekana hata wao ikawa ni zaidi...
 
Mi sijawahi ona hata tajiri akitolewa mapepo...tunaotolewa mapepo ni wale wale kina sisi kina Mwajuma Ndala ndefu,kina Tupilikege Mwakingwe,kina Yosefu Ndaula.....dini tuliletewa na wazungu na waarabu awali sisi tulikua tunaabudu miti na mizimu,tukaambiwa ustarabu wa kidini ni huo wa wamisionari na waarabu,sasa tumeushikiria na kuukomalia hadi wenyewe waliotuletea tumewazidi na wanatushangaa...... contradictions za kiimani bado ni nyingi kila imani/dini wao ndio wanajiona ni bora zaidi ya wengine na wanajigamba kuwa wataiona pepo au mbingu....Islamic wao wanajiona ni bora zaidi ya wengine na imani nyingine hadi wamepewa kila aina ya majina kama "makafiri"n.k,na wao wana uhakika na pepo zaidi ya wengine..... Christianity nao ndio usiseme wanakushangaa kabisa wakiona wewe ni mwislamu wanaona umepotea na utaukosa ufalme wa mungu....sasa kama mungu tunae mtarget ni mmoja kwanini tunaanza kuparuana sisi kwa sisi hapa duniani?,tukiongea haya watu wengine hawatuelewi wanaona tumechanganyikiwa kabisa.....mimi wife nilishampiga stop kwenda kwenye hayo makongamano ya kutoana mapepo maana najua mengine ni utaperi tu....na wanawake ndio huwa wanajaa sijui ni kwanini?,....jamani let's be open minded,tuwe watu wakufikiria.....kumbuka leo hii ungezaliwa mikoa ya bara huko huenda ungerithi dini ya wazazi wako na mara nyingi huwa ni Ukiristu,na vilevile ungezaliwa maeneo ya Pwani au Visiwani ungerithi dini ya wazazi wako ambayo mara nyingi ingekua Uislamu....so tukumbuke dini ni mapokeo tu,hakuna haja ya kukejeriana wala kukwazana eti kisa mwenzio haamini sawa na wewe tuheshimiane tu.....waafrika tuna maarifa kidogo na hatutaki kusaka ukweli na kuhoji...nimeandika mpaka nimeenda nje ya mada nisameheni

Mke wangu ananiambia tukikopa lazima tutoe fungu la kumi mimi namuangalia hivi tu ,, asinilete utani hata kidogo

Yaan mfano tukikopa 30 millions tutoe hapo 3millions kanisani kwanza ndo tupeleke iliyobaki kwenye kusudi .. Nampimia tu yeye hanijui vizuri ,,

Hivi kwa staili hiyo utarudisha hela ya watu kweli,
 
Mkuu nakuunga mkono na nimesimama kila mtu ajue tupo pamoja... 👏 👏 👏

Back
Top Bottom