Sijawahi ona wala kusikia Russia imetoa hata gunia moja la mahindi kama msaada

Sijaelewa lengo lako mpaka sasa.umepewa kazi na mmarekani au namtumbo wamesitisha kuchimba uranium hivyo neti tumepewa bure? America kakusaidia nini wewe? Matangazo ya usaid ndo yanakuchanganya? Labda ngoja uelimike kidogo.wasio wapumb.avu hawataki misaada ya wamagharibi kwakuwa masharti yao tunayajua.vile vile siku zote utakula ulipolala.kuna msaada ambao America kautoa bure tu? Utampa 10 yeye atatoa moja.nchi nyingi mfano yetu zimejiegemeza kwenye vifua vya wamagharibi ambao wako kinyume na urusi na mataifa mengi ya mashariki ikiwemo china na Korea kaskazini.nimeona unaitukana DPRK hapo juu.hivi unajielewa? Korea ina njaa? Iko advanced kwenye kila kitu kama wamagharibi au unadhani America amependa kuufyata? Anarusha drone kama ya mmarekani then Patrick Elias wa Tanganyika anawaita njaa tu.ulipata bahati ya kuspma harakati za kuikomboa Africa? Nchi kama USSR na Cuba ndo zinatajwa sio America inayokupa neti na kukuletea dengue kisha akaondoka na uranium.eti Korea njaa tu unaikumbuka hotuba ya nyerere wakati anaongelea msaada wa mpunga toka Korea? Wakati anaifananisha tabora na DPRK.kuanzia technology mpaka kufua nguo kwa wewe pat hujawafikia wakorea.

Bahati mbaya umefumbwa macho na mahindi ya njano ili usione miradi ya USA ndani ya Tanzania........BTW una binti wa kike kwenu? Kama si wako hata wa mjomba au mdogo ako naamini nikileta kiroba cha unga nishahalisha ndoa.

http://www.northkoreanow.org/the-crisis/mass-starvations-in-north-korea/
Eti north korea hakuna njaa! Soma chukua hiyo link sasa
 
Last edited by a moderator:
Hawana msaada wa kinafki.Wanasaidia sana tu kama wewe ni mtanzania(sifahamu kwa nchi nyingine) basi ujue jeshi lako linapata msaada kutoka Russia.Fatilia utajua.Achana na hao wanaotoa msaada wa kuonekana ili muwajue na kufuta makosa yao kwenye mioyo yenu.
 
Unaweza kunitajia mradi hata mmoja au nusu tu wamaendeleo uliofanywa na America?

Kijijini kwa bibi wanatumia maji safi na salama kwa hisani ya watu wa marekani kabla ya watu wa marekani kusaidia ilikuwa balaa tupu, maji machafu afu yanapatikana zaidi km 10
 
Nina wasi wasi na utulivu wa akili yako.bibi yako wa namtumbo anachomwa na mionzi ya uranium ndo anapewa maji kisha unashangilia.....very poor nasubiri uisifie wama maana wamefungua visima vingi kuliko vya Obama.mababu jinga wengi.
 
http://www.northkoreanow.org/the-crisis/mass-starvations-in-north-korea/
Eti north korea hakuna njaa! Soma chukua hiyo link sasa

Ni nchi gani ambayo haina njaa completely huyo bwana ako mwenyewe ana njaa...m.in.rbth.com/articles/2011/09/30/a..._are_50_million_americans_starving_13064.html.....kaa kimya tu.hivi unajua America ina homeless men wangapi? Omba omba kibao then aje akusaidie wewe bure.huo mradi wa maji ni mradi wa maendeleo nao? Hivi unalalia godoro gani? Usikute linakubadilisha akili.au uko kwenye kozi ya ubishi na kutoa mada fyongo unafanya mazoezi jf?
 
Warusi walitusaidia sana kupata uhuru kwa nchi nyingi kusini mwa Afrika. Nipo nje ya mada lakini inaweza kuwa rejea.
 
Ni nchi gani ambayo haina njaa completely huyo bwana ako mwenyewe ana njaa...m.in.rbth.com/articles/2011/09/30/a..._are_50_million_americans_starving_13064.html.....kaa kimya tu.hivi unajua America ina homeless men wangapi? Omba omba kibao then aje akusaidie wewe bure.huo mradi wa maji ni mradi wa maendeleo nao? Hivi unalalia godoro gani? Usikute linakubadilisha akili.au uko kwenye kozi ya ubishi na kutoa mada fyongo unafanya mazoezi jf?

Hawa vijana wanaijua Marekani ya Akina 50 Cents...Sasa ukimpa data zote hizo sijui kama atakuelewa..
 
Sijaelewa lengo lako mpaka sasa.umepewa kazi na mmarekani au namtumbo wamesitisha kuchimba uranium hivyo neti tumepewa bure? America kakusaidia nini wewe? Matangazo ya usaid ndo yanakuchanganya? Labda ngoja uelimike kidogo.wasio wapumb.avu hawataki misaada ya wamagharibi kwakuwa masharti yao tunayajua.vile vile siku zote utakula ulipolala.kuna msaada ambao America kautoa bure tu? Utampa 10 yeye atatoa moja.nchi nyingi mfano yetu zimejiegemeza kwenye vifua vya wamagharibi ambao wako kinyume na urusi na mataifa mengi ya mashariki ikiwemo china na Korea kaskazini.nimeona unaitukana DPRK hapo juu.hivi unajielewa? Korea ina njaa? Iko advanced kwenye kila kitu kama wamagharibi au unadhani America amependa kuufyata? Anarusha drone kama ya mmarekani then Patrick Elias wa Tanganyika anawaita njaa tu.ulipata bahati ya kuspma harakati za kuikomboa Africa? Nchi kama USSR na Cuba ndo zinatajwa sio America inayokupa neti na kukuletea dengue kisha akaondoka na uranium.eti Korea njaa tu unaikumbuka hotuba ya nyerere wakati anaongelea msaada wa mpunga toka Korea? Wakati anaifananisha tabora na DPRK.kuanzia technology mpaka kufua nguo kwa wewe pat hujawafikia wakorea.

Bahati mbaya umefumbwa macho na mahindi ya njano ili usione miradi ya USA ndani ya Tanzania........BTW una binti wa kike kwenu? Kama si wako hata wa mjomba au mdogo ako naamini nikileta kiroba cha unga nishahalisha ndoa.

Mkuu huyo patric ana matatizo ya kisaikolojia. Hata ukimweleza vipi hawezi kukuelewa. Siku tutakayo ingia vitani na nchi yeyote ile China na Rusia hawawezi kututupa hata kidogo. Lakini marekani atachochea na kuanza kutugawanya ili aingie mzima mzima. Marafiki wa kweli ni Russia na China.
 
Hawa vijana wanaijua Marekani ya Akina 50 Cents...Sasa ukimpa data zote hizo sijui kama atakuelewa..

hajui kuwa marekani kuna watu hawana nyumba,ukijenga jumba zuri utalilipia kodi hadi ujute ndio maana kina Tyson wanauza mansions zao wakiyumba kiuchumi,wanakatwa kodi kupitiliza,kuna watu wanalala pembeni ya maduka......ukimaliza chuo kama ulisoma kwa mkopo unajuta....
 
Huyu atakua anafanya tempo ktk shirika la US AID.....hawa watu kwa HISANI YA WATU WAMAREKANI imewaharibu maindi zao
 
Mkuu huyo patric ana matatizo ya kisaikolojia. Hata ukimweleza vipi hawezi kukuelewa. Siku tutakayo ingia vitani na nchi yeyote ile China na Rusia hawawezi kututupa hata kidogo. Lakini marekani atachochea na kuanza kutugawanya ili aingie mzima mzima. Marafiki wa kweli ni Russia na China.

Kumbe ndo maana mnachokoza watu mkitegemea vifua vya watu? Usitegemee mchina kupoteza muda wake kuja kukusaidia wewe kupigana, labda russia nae pia akiona upande wa pili kuna us hawezi tia mguu
 
Mlishawahi kujiuliza kwa nini obama alipigiwa deki barabara?! Kwa nini vyombo vya habari vya ndan vilitangaza sana?
 
Mshaurini Russia aige mfano wa USA na CHINA hawa jamaa kazi tu na ndo maana hapo mmeshika ipad, simu na computer za mmarekani na mchina lakin povu jingi mdomoni
 
Wanauza ndege na Silaha, ndiyo misaada ya Mrusi ili muuwane vizuri, wavivu wa kufikiri.

Mrusi kwa mtu mweusi anaona ni kama nyama ya kujaribia silaha zake, siyo binadamu.

Obama kuwa Rais wa USA kwa kweli imewauma sana. Ila ndiyo hawana jinsi.

ugandan-su-30mk2.jpg
 
Brainwashed! GO SLEEP
 
Kumbe ndo maana mnachokoza watu mkitegemea vifua vya watu? Usitegemee mchina kupoteza muda wake kuja kukusaidia wewe kupigana, labda russia nae pia akiona upande wa pili kuna us hawezi tia mguu
Duh! Kiswahili kigumu sana. ehehehehe!
 
Kumbe ndo maana mnachokoza watu mkitegemea vifua vya watu? Usitegemee mchina kupoteza muda wake kuja kukusaidia wewe kupigana, labda russia nae pia akiona upande wa pili kuna us hawezi tia mguu

Hivi unajielewa sioni maneno kwenye maandishi yako.naweza kubadilishana mawazo na mwerevu ama asiyeerevuka lakini ana lengo lakuerevuka.hujibu ulichoambiwa unakuja na pops ka corn ina kaangwa.nani anayemchokoza mtu?
 
Back
Top Bottom