Sijawahi ona wala kusikia Russia imetoa hata gunia moja la mahindi kama msaada

Bush kasaidia pesa ya miradi kibao, obama kaja na pesa kibao na mradi wake wa power afrika, USAID inapiga jeki hadi visima vya maji vijijini. Huyo putin na russia yake kasaidia nini cha maana hadi mnamkubali kiasi hicho? Si bora hata norway

Dah.... Akili fupi kuliko job ndugai
 
kwani lazima? Urusi wanatutoa waafrika ila kimya kimya wao sio mashoga.

Nalog off
 
Tena misaada imevuka na mipaka, leo hii tunalizimishwa ku adopt mambo ya kishetani eti kisa misaada, tunalizimishwa kukubali ndoa za jinsia moja!!
 
Sisi na Russia na China tuna ushirikiano wa udugu tangu zamani sana. Wanatusaidia vitu vya kutujenga, Kama elimu, technologia, na mambo kamahayo. Mmarekani ni mnafiki na msaada yake ya kinafiki. Yeye anakupa msaada ili baadaye ale kikubwa maradufu kuliko alichokupa. Kama mchangia hoja alivyosema pro-american bongo wapo kibao.
 
Kuna umaarufu mwingine wa kijinga kweli, eti ili uwe maarufu lazima umkoromee marekani duh! Korea kaskazini anafanya ivyo, iran anafanya hivyo, russia anafanya, pia mgabe, castrol, nk. Si wamkoromee hata rwanda kama tanzania tunavyofanya waone kama watapata huo umaarufu, rwanda nayo ni nchi.
 
Hivi hoja zako unazitoa wapi? Korea anatafuta umaarufu? Kwa nani wewe Patrick Elias? You can't be serious.wewe korea ya Samsung ndo ijitafutie umaarufu kwako? Pyongyang inavyopiga hatua umeona? Iran unamtisha kwa lipi hata atafute umaarufu kwako.unaijua sababu ya Mugabe kupingwa na wamagharibi? Hivi umeamka au umelala wakati unaandika haya?
 
Last edited by a moderator:
Kawaida miafrika ndivyo ilivyo, bado kabisa hatujajikomboa na tena ni aibu sana. Utakuta Askari Kanzu anajishaua "eti Wabongo" ndio wamekombolewa pekee yao na Wakenya bado wamefungwa na minyororo ya ukoloni ilhali kibakuli siku zote mnazungusha dunia kote.
 
Wewe acha kujidanganya eti north korea ina samsung, samsung ni south korea wewe, kule north korea njaa tupu
 
Last edited by a moderator:
Please consult your history. Russia na China toka miaka tunapata uhuru imekuwa ikitoa scholarships nyingi sana kwa vijana wetu.Marehemu Abdulhaman Babu wa Zanzbar ni mmoja wa vijana wa mwanzo kusomeshwa na Warusi.Waalimu wengi wa vyuo vyetu vya ufundi wamesomeshwa kwa misaada ya China na urusi.Askari wetu wengi wamesomea Urusi na China. Au kwa tafsiri yako msaada ni kupewa unga tu ule? Kafanye research kwanza kidogo ndio uje hapa!

Scholarship hata south africa anatoa, ni kitu cha kawaida sana. Si swala rahisi kwa taifa kwenda kutekeleza miradi ya maendeleo kwenye nchi za kigeni kama wanavyofanya marekan, japan,nk
 
Si wanunue, we unafikiri hata serikali ama mashirika ya kimataifa yanayotoa misaada ya chakula yanalima?!

Sijaelewa lengo lako mpaka sasa.umepewa kazi na mmarekani au namtumbo wamesitisha kuchimba uranium hivyo neti tumepewa bure? America kakusaidia nini wewe? Matangazo ya usaid ndo yanakuchanganya? Labda ngoja uelimike kidogo.wasio wapumb.avu hawataki misaada ya wamagharibi kwakuwa masharti yao tunayajua.vile vile siku zote utakula ulipolala.kuna msaada ambao America kautoa bure tu? Utampa 10 yeye atatoa moja.nchi nyingi mfano yetu zimejiegemeza kwenye vifua vya wamagharibi ambao wako kinyume na urusi na mataifa mengi ya mashariki ikiwemo china na Korea kaskazini.nimeona unaitukana DPRK hapo juu.hivi unajielewa? Korea ina njaa? Iko advanced kwenye kila kitu kama wamagharibi au unadhani America amependa kuufyata? Anarusha drone kama ya mmarekani then Patrick Elias wa Tanganyika anawaita njaa tu.ulipata bahati ya kuspma harakati za kuikomboa Africa? Nchi kama USSR na Cuba ndo zinatajwa sio America inayokupa neti na kukuletea dengue kisha akaondoka na uranium.eti Korea njaa tu unaikumbuka hotuba ya nyerere wakati anaongelea msaada wa mpunga toka Korea? Wakati anaifananisha tabora na DPRK.kuanzia technology mpaka kufua nguo kwa wewe pat hujawafikia wakorea.

Bahati mbaya umefumbwa macho na mahindi ya njano ili usione miradi ya USA ndani ya Tanzania........BTW una binti wa kike kwenu? Kama si wako hata wa mjomba au mdogo ako naamini nikileta kiroba cha unga nishahalisha ndoa.
 
Last edited by a moderator:
Scholarship hata south africa anatoa, ni kitu cha kawaida sana. Si swala rahisi kwa taifa kwenda kutekeleza miradi ya maendeleo kwenye nchi za kigeni kama wanavyofanya marekan, japan,nk

Unaweza kunitajia mradi hata mmoja au nusu tu wamaendeleo uliofanywa na America?
 
Naona pro Russia mnatiririka bila fact zaidi ya kuponda anayofanya USA ambaye mko against naye
 
Bush kasaidia pesa ya miradi kibao, obama kaja na pesa kibao na mradi wake wa power afrika, USAID inapiga jeki hadi visima vya maji vijijini. Huyo putin na russia yake kasaidia nini cha maana hadi mnamkubali kiasi hicho? Si bora hata norway

Patrick Elias! Unajua kuwa any capitalist nation has got no permanent friend or enemy! Ukiielewa statement yangu itakusaidia sana! We unahici tunapewa misaada kwa sababu tunapendwa?
 
Kawaida miafrika ndivyo ilivyo, bado kabisa hatujajikomboa na tena ni aibu sana. Utakuta Askari Kanzu anajishaua "eti Wabongo" ndio wamekombolewa pekee yao na Wakenya bado wamefungwa na minyororo ya ukoloni ilhali kibakuli siku zote mnazungusha dunia kote.

MA.KU wewe bila kuitaja Bongo huwezi kuchangia kabisa!!
 
Last edited by a moderator:
Thinking za kiafrika huwezi pata shida kuzitambua, yaani umekaa unafikiria misaada tu badala ya kufikiria ni jinsi gani tutaweza kukuza uchumi wetu na kuwasaidia wengine wakiwemo hao Russia???

Mkuu nitake radhi...mimi ni Mwafrika na sina 'thinking' za namna hiyo. Hivyo mkuu badilisha hapo 'pekundu' pasomeke hivi "Thinking za watu tegemezi kimawazo/fikra"
 
Wadau huu umaarufu wa Russia hasa huku bongo unatoka wapi? Majanga kibao ya ukame, vita, mafuriko, matetemeko ya ardhi huku kwetu Afrika lakini sijawahi kusikia Russia kasaidia hata chumvi kwa wahanga bali wanaofanya hivyo ni USA na baadhi ya nchi za magharibi na china kidogo. Sasa hawa waswahili wanatumia vigezo gani kuwa pro russia? Make sidhani kama Russia walishawahi kutusaidia kopo moja la aspilin. Mbaya zaidi hawa waswahili pro Russia wanakuwa against USA na wanafanya hivyo huku wao na familia zao wakiwa wamelala kwenye vyandarua vya watu wa marekani, wao na ndugu zao wamekunywa sana ARVs kwa hisani ya watu wa marekani, wao na familia zao wanapata huduma za afya, maji, umeme,nk kwa hisani ya watu wa marekani lakina mswahili bado anaponda tu na kusifia Russia ambaye hasaidii chochote katika jamii yake. Mimi nahisi Russia anapata umaarufu bongo kwa sababu ya kuikoromea Marekani tu na si vinginevyo, umaarufu wa aina hiyo hata Iran, korea kaskazini na iraq wanao lakin hizo nchi hazina lolote za kawaida sana.

Mkuu nakuona masikini wa fikra kama wengi wa viongozi wetu. Marekani wanafanya CSR na sio economic aid. Wanatoa misaada isiyokuwa na maana kwa maana tu ya kuendeleza ushawishi wao na umaarufu wao kwa viongoZi wetu na Mara nyingi hiyo misaada Yao isiyo natija inaambatana na masharti na mikataba mingi. Urusi wamesaidia sana hasa katika elimu ya juu madaktari wengi na walimu vyuo vikuu wamesoma urusi kupitia scholarship mbalimbali.Msaada huu unamanufaaa makubwa sana kuliko hayo matangazo ya dume na ukimwi na malaria. Mchina anatoa misaada 'tangible' kama barabara na madaraja, reli kwa manufaa fulani ambayo sio ya kijeShi au ya kuamua nnai awe raisi kama amerika.

Urusi ni rafiki wa kweli anaesaidia bila masharti kwamba ya msingi Yale anayoweza marekani ni bepari anaeangalia kueneza ushawishi na kufaidikia kwa misaada isiyo na tija wala mantiki.
 
Back
Top Bottom