Mwigulu: Sijawahi kuwasiliana na Dr. Emmanuel Nchimbi kwa e-mail tangu nizaliwe

Mwigulu Nchemba ni Mwanasiasa aliyenitibua zaidi katika mwaka huu wa 2013.......jamaa sio tu ni mfano wa kutoigwa bali hata wa kutotambulishwa mbele ya jamii....Mwigulu ni Kirusi hatari sana kwa ustawi wa Demokrasia.
 
Najiuliza tena kwa nini CCM inawaaibisha waasisi wake kwa kuwapa watu Kama Mwigulu platform ya kuonesha uozo wao,Mwigulu ni kinyaa kwenye jamii,sijui kafikaje Huko juu au ndio watu wanaopendwa CCM hawa sababu hawana madhara kwa mizigo mingine ndani ya chama?
 
Mkuu chama

Naona unawapa vitasa vya maana makamanda wa Chadema.

Mkuu Ritz
Hawa vilaza wanashangaza sana; yaani wanataka kutufanya watanzania kama mapimbi fulani; wapo wanahangaika sana JF kuposti pumba ili wapate vijiposho vya x-mass na mwaka mpya wakatese kwenye mabaa hawana lolote; Ben Saanane mzuzuraji hana jipya la kushtua yeye na aendelee kusaga lami!
 
Last edited by a moderator:
Yaan wewe ni mjinga na mpu.mbvu kabisa,unaona serikali kukusomesha ndio kete ya kuitetea.Je,akina Prof.Lipumba walisomeshwa na nani kama sio serikali? Huu ni ushamba na unaonesha ni jinc gani ulivyo mzembe kufikiri. Kumbe wewe serikali inaweza hata kukfnyia lolote kisa tu imekusomesha? Wajinga kama wew ndio bado mko ccm.

Wewe ndio utakuwa -------- zaidi; jaribu sana kutumia akili yako pamoja na kwamba vichwa vyenu vimekuwa tutusa; taofauti kati yangu na hao waganga njaa wenzio siitetei CCM wala serikali yake ili inipe ulaji au cheo; sina shida hiyo kazi yangu inatosha sana kunifanya niyamudu maisha yangu;hao waganga njaa wenzako wanakesha ili wapewe ulaji na Chadema; wewe ndio mjinga wa mwisho kabisa kama akilini mwako unadhani Chadema ndio mtetezi wako tafuta pa kwenda!
 
upumbavu unakuelemea, hata ukikobolewa pamoja na ngano kinuni upumbavu haukutoki. wala elimu haitakusaidia.

-------- utakuwa wewe; elimu imenisaidia sana na ndio maana siishi kwa kulamba watu makalio!
 
Wewe ndio utakuwa -------- zaidi; jaribu sana kutumia akili yako pamoja na kwamba vichwa vyenu vimekuwa tutusa; taofauti kati yangu na hao waganga njaa wenzio siitetei CCM wala serikali yake ili inipe ulaji au cheo; sina shida hiyo kazi yangu inatosha sana kunifanya niyamudu maisha yangu;hao waganga njaa wenzako wanakesha ili wapewe ulaji na Chadema; wewe ndio mjinga wa mwisho kabisa kama akilini mwako unadhani Chadema ndio mtetezi wako tafuta pa kwenda!

Mkuu punguza doze, siasa si uadui pia karibu CHADEMA kamanda tuikomboe nchi yetu.
 
kwa hiyo sasa unajitetea ili iweje??unajua wewe mwigulu unatumika vibaya na ccm,kumbuka jimboni kwako hakuna unalolifanya lakini umekaa kuishambulia chadema,Take care brother,mwisho wenu unahesabika,nayo ni 2015 tu,peoplsssssss,,,,,,,,,,, powerrrrrrrrrrrr
 
Mwigulu wewe ni mtu mwenye nyadhifa na fedha katika nchi hii na ndio hata baada ya kumpoteza mwanangu nimeshindwa kujitokeza hadharani na kwenda kukushitaki kwani ninajua nikijaribu na mimi pia nitapoteza maisha yangu. Mipango yako dhidi ya mauaji ya soweto (bomu la soweto)ninajua fika hukulifanya kibinafsi kwani ulikuwa na maslai ya chama chako na msukumo wa nguvu kutoka kwa baadhi ya watu ambao sio waaminifu serekalini.

Ila elewa nguvu uliyokuwa nayo iko siku utaikosa na upande wa pili utakuwa na nguvu na hapo ndio itakuwa muda muafaka kwangu kulipiza kisasi.

Namuomba Mungu atupe maisha marefu ili nchi hii ije kushuuudia ukilipa uliyoyafanya.
Pole sana mkuu nimeguswa sana na post yako. Kweli watu wamejeruhiwa mno na kila kukicha wanaongezeka Eee Mungu tuepushie hizi balaa.
 
Back
Top Bottom