Elections 2010 Sijawahi kusikia ccm wakisema wamefanya makosa inchini

niweze

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
1,008
116
Leo Wananchi Tukiangalia Makosa na Uhaini CCM Imeifanyia Tanzania, Tutaona Hata Mara Moja Viongozi wa CCM Hawatoi Msamaha Wala Kukubali Wamewaumiza Wananchi Wao. Tukianzia Rushwa, Umaskini na Kutokuwa na Majibu ya Uchumi. Leo Tukiangalia Maisha ya Watanzania, Tutaona Kuna Matabaka Mawili Makubwa: Walioiba na Maskini. Huu ni Mfumo Upi wa Uchumi au ni Mfumo wa "sisiemism" Imekuaje Wananchi Ambao Ndio Wengi Hawana Kazi na Hawawezi Kulipia Watoto Wao Mashuleni na Kushindwa Kujilipia Mahospitalini? Huu Utajili Unaotokana na Madini Unaenda Wapi? Ni Nini Sababu za Kufungwa na Kumalizika kwa Viwanda Tanzania? Ni Nani Anaruhusu Uingizaji wa Mchele, Mahindi na Sukari Tanzania Wakati Wakulima na Wafanyakazi Wanazidi Kufukuzwa na Wengi Kulipwa Mishahara Isiowatosheleza? Huu ni Uchumi au Ni Vyuo Gani Vinafundisha Uchumi wa Namna Hii? CCM Mkae Mkijua Mnawashikilia Watanzania Hostages, Tuachiliene Tuiendeleza Inchi Yetu. Tunataka Kufanya Kazi na Kupiga Kura kwa Uhuru...

"Mapinduzi Hata Mara Moja Hayataletwa na Viongozi wa CCM. Sisi Wananchi Lazima Tupiganie Hizi Haki Zetu Wenyewe"
 
leo wananchi tukiangalia makosa na uhaini ccm imeifanyia tanzania, tutaona hata mara moja viongozi wa ccm hawatoi msamaha wala kukubali wamewaumiza wananchi wao. Tukianzia rushwa, umaskini na kutokuwa na majibu ya uchumi. Leo tukiangalia maisha ya watanzania, tutaona kuna matabaka mawili makubwa: Walioiba na maskini. Huu ni mfumo upi wa uchumi au ni mfumo wa "sisiemism" imekuaje wananchi ambao ndio wengi hawana kazi na hawawezi kulipia watoto wao mashuleni na kushindwa kujilipia mahospitalini? Huu utajili unaotokana na madini unaenda wapi? Ni nini sababu za kufungwa na kumalizika kwa viwanda tanzania? Ni nani anaruhusu uingizaji wa mchele, mahindi na sukari tanzania wakati wakulima na wafanyakazi wanazidi kufukuzwa na wengi kulipwa mishahara isiowatosheleza? Huu ni uchumi au ni vyuo gani vinafundisha uchumi wa namna hii? Ccm mkae mkijua mnawashikilia watanzania hostages, tuachiliene tuiendeleza inchi yetu. Tunataka kufanya kazi na kupiga kura kwa uhuru...

"mapinduzi hata mara moja hayataletwa na viongozi wa ccm. Sisi wananchi lazima tupiganie hizi haki zetu wenyewe"

majibu yote yatajibiwa na katiba mpya na kama ccm hawatakubali kubadili katiba kwa sasa wao watakuwa wa kwanza kuidai pindi wakianguka 2015 maana hata wasomi wamediriki kusema hawana imani na viongozi wa serikali kabisa kwa hiyo hapo ni serikali kuondoka kabla ya nguvu ya umma
 
Sisiemu wako kama mwenye dhambi ambaye hawezi kukiri kuwa ni mwenye dhambi mpaka kwanza akubali ukweli wa mahubiri!!!!!!!!!!!!! sisiemu wanajua walivyo wachafu-matokeo ya kura za maoni-sasa hivi katika serikali za mitaa ni ushahidi tosha-ila kwa sababu hawajakiri mapungufu waliyo nayo-ila waangalie wasijidhanie wamesimama-wataanguka ghafla kwa mshangao wao!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Leo Wananchi Tukiangalia Makosa na Uhaini CCM Imeifanyia Tanzania, Tutaona Hata Mara Moja Viongozi wa CCM Hawatoi Msamaha Wala Kukubali Wamewaumiza Wananchi Wao. Tukianzia Rushwa, Umaskini na Kutokuwa na Majibu ya Uchumi. Leo Tukiangalia Maisha ya Watanzania, Tutaona Kuna Matabaka Mawili Makubwa: Walioiba na Maskini. Huu ni Mfumo Upi wa Uchumi au ni Mfumo wa "sisiemism" Imekuaje Wananchi Ambao Ndio Wengi Hawana Kazi na Hawawezi Kulipia Watoto Wao Mashuleni na Kushindwa Kujilipia Mahospitalini? Huu Utajili Unaotokana na Madini Unaenda Wapi? Ni Nini Sababu za Kufungwa na Kumalizika kwa Viwanda Tanzania? Ni Nani Anaruhusu Uingizaji wa Mchele, Mahindi na Sukari Tanzania Wakati Wakulima na Wafanyakazi Wanazidi Kufukuzwa na Wengi Kulipwa Mishahara Isiowatosheleza? Huu ni Uchumi au Ni Vyuo Gani Vinafundisha Uchumi wa Namna Hii? CCM Mkae Mkijua Mnawashikilia Watanzania Hostages, Tuachiliene Tuiendeleza Inchi Yetu. Tunataka Kufanya Kazi na Kupiga Kura kwa Uhuru...

"Mapinduzi Hata Mara Moja Hayataletwa na Viongozi wa CCM. Sisi Wananchi Lazima Tupiganie Hizi Haki Zetu Wenyewe"
MS jibu tafadhari...................
 
kwani umewahi sikia kuwa UCHUMI wa Tanzania Umeshuka??? mimi huwa nasikia unapanda tuuu!
 
Ukiwauliza leo cdm kama kunampasuko ndani ya chama watakwambia hamna ni changamoto tu.
Na ndivyo ilivyo kwa ccm watataja mpungufu yao kama changamoto
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom