sijawahi kuonja ladha ya bamia. Nasikia ni tamu sana.

Evz

JF-Expert Member
Apr 28, 2014
674
130
mwenzenu nimemsikia shosti angu anasema anapenda sana bamia chukuchuku lisiloungwa na nazi. Amentamanisha sana leo. Kesho lazima nitafute bamia cwez kukaa hv bila kula bamia.
 
Evz umeshaanza na vithread vyako vya kifacebook. Homework hujafanya.
 
...DSTV ni Tsh 130,000/= promo kwa ajiri ya kombe la dunia 2014.
 
mwenzenu nimemsikia shosti angu anasema anapenda sana bamia chukuchuku lisiloungwa na nazi. Amentamanisha sana leo. Kesho lazima nitafute bamia cwez kukaa hv bila kula bamia.

Njoo kwangu maana nina robo eka ya vibamia!
 
Ah, hiki kijiwe wamejaa Waarabu wa Pemba, mwajuana kwa vilemba. Narudi kwenye Siasa.
 
mwenzenu nimemsikia shosti angu anasema anapenda sana bamia chukuchuku lisiloungwa na nazi. Amentamanisha sana leo. Kesho lazima nitafute bamia cwez kukaa hv bila kula bamia.

peleka mwaya hii thread kule jukwaa la mapishi, huku kidogo mambo yake ni tofauti
 
Nahisi kucheka, naruhusiwa kuchekea humu au ntoke nje manake mh! naona mwapuuza hoja kama mlivyompuuza mtoa hoja.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom