Sijawahi kuona Watuhumiwa wakiingia Mahakamani wakiwa na furaha na bashasha usoni isipokuwa hawa akina Mbowe na Makomandoo!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,840
141,763
Wakiwa wanashuka kwenye karandinga utawaona wana furaha na amani hata machoni tu

Wakiwa ndani ya mahakama wanakuwa Watulivu na Wasikivu sana wakifuatilia kila hatua ya mwenendo wa kesi.

Wakati wa kuondoka huwapungia mikono ya " amani" Wananchi waliofika mahakamani kufuatilia kesi yao

Hakika ujasiri na Upendo huu unanikumbusha nyakati za JKT.

Mungu wa mbinguni awabariki nyote!
 
Hata Yesu aliwaonea huruma watesaji wake na mwisho akawaombea msamaha kwa Mungu maana walikuwa hawajui watendalo.
Ila hawa kina Kingai wameumiza watu wengi sana.
 
Wakiwa wanashuka kwenye karandinga utawaona wana furaha na amani hata machoni tu

Wakiwa ndani ya mahakama wanakuwa Watulivu na Wasikivu sana wakifuatilia kila hatua ya mwenendo wa kesi.

Wakati wa kuondoka huwapungia mikono ya " amani" Wananchi waliofika mahakamani kufuatilia kesi yao

Hakika ujasiri na Upendo huu unanikumbusha nyakati za JKT.

Mungu wa mbinguni awabariki nyote!
Hao ni makomandoo wanajikaza kiume tu ila mateso waliyoyapata wakati wa kukamatwa kwao wanayaugulia mioyoni mwao Mungu awasaidie tu maana hata afya zao zimedhohofu sana, wananyanyaswa katika nchi yao bila hatia yeyote kisa tu harakat zao za kujitafutia ridhiki Mungu awape nguvu watoke hapo salama na pia awaazibu wale wote waliowatendea unyama vijana hawa Ameen!!!
 
Mwanajeshi kafundishwa kuishi katika nyakati zote zihusuzo maisha yake binafsi na maisha ya Wananchi!
 
Sasa una wakili Kibatala, Jeremiah Mtobesya na Mallya uwe wasiwasi wa nini?
Aaa aaa!. ni hivi. MUNGU yuko upande wako, wenye kiu ya haki wanakuombea mchana na usiku , una wakili Kibatala, Jeremiah Mtobesya, John Mallya, ushahidi wa upande wa mashtaka wa kuunga unga na gundi ,uwe na wasiwasi wa nini?.
 
Mungu yu upande wao....inaonekana wameambizana mawakili wa serikali wasiweke mapingamizi sana jaji atapata wakati mgumu zaidi maana mapingamizi ya kina kibatala karibu yooote yalitupiliwa mbali, iweje ya kina kidando anayakubali??
 
Back
Top Bottom