Sijawahi kuona uzuri unaopatikana kwa wanawake kufuga kucha

Kufuga kucha ushwahilini ni uchafu.

Kufuga kucha ushuani hakuna shida. Maana maji yapo ya kutosha na pressure taps zipo za kutosha.

Mwanamke wa ushwahilini kufuga kucha ni uchafu wa hali ya juu. Ukimvua kyupi huyo unaweza kukimbia.
Hebu funguka zaidi mkuu kwahiyo wa ushuani akifuga kucha hanuki kipochi manyoya chake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hakuna cha uswahilini wala cha nini....

1. Kufuga kucha ni ujinga na kutojitambuwa haijalishi ana degree ngapi.....kwani ile midude inaumuhimu gani jamani? Nikujidhalilisha tu

2. Kujichubua.....mtu anaacha rangi yake halisi ya ngozi ambayo rasmi ina tabaka/layers tatu nakila moja inakazi maalum kwa afya ya mwanadamu....unakuta dume zima au mwanamke kajichubuwa nakujipachika negative kwanini?

Mtu wahivi siwezi kaa naye meza moja kama vipi naishia zangu....sihusidishi ujinga na upumbavu kabisaaas
Twende taratibu mkuu! Maana hapa wapo pia tuwasaidie kwa upole

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kufuga kucha ushwahilini ni uchafu.

Kufuga kucha ushuani hakuna shida. Maana maji yapo ya kutosha na pressure taps zipo za kutosha.

Mwanamke wa ushwahilini kufuga kucha ni uchafu wa hali ya juu. Ukimvua kyupi huyo unaweza kukimbia.[ mwanamke hujisafisha kwa kidole tupu yake kwenye tundu....sasa kile kidole kucha bandia mfan wa kisu kitaingia shimo gan?
 
Yamkini mko salama kabisa wanabodi hapa

a3bc552eefcfdf10684650e842ffd121.jpg
Kwa kawaida mapambo yote ya urembo kwa upande wa mwanamke faida yake kuu ni kujiona amependeza yeye mwenyewe kwanza, na kwa upande wa sisi wanaume ni kuvutia naye kwa jinsi alivyojipamba.

Ukiachilia mbali mapambo ni kustiri mwili,mfano nguo, viatu, kofia na vinginevyo. Lakini kwa mwanamke ambaye amejipamba kwa mfano wa kuachia kucha au kubandika kucha, sijawahi kuona uzuri unaopatikana kwa wanawake kufuga kucha au kubandika kucha.

Ombi kwa wabobezi wa mambo ya urembo, mtupe faida kidogo inayopatikana kwa wanawake kuwa na kucha kiasi hiki kwenye picha, ili kuwachukia wanawake wa namna hii huenda kukawa mwisho kwangu na wengine mfano wangu.

Pengine unaweza kukosa jambo kwa kudharau tu kumbe likawa lina faida kwako, kwahivyo karibu tupashane habari hii.

Nawasilisha
Ni vigumu kupata jibu sahihi. masuala ya uzuri hutegemea mtizamo wa mtu ama jamii husika. ni wazi pakipigwa kura miongoni mwa watanzania hasa vidume au watu wasioishi mijini , wengi wataonesha kuchukizwa na kitu hiki. lakini hii haimaanishi ndiyo ukweli bali ni athari za utamaduni. ukienda west huenda picha ikawa tofauti.

Mimi huwa ninajiuliza

Ukiwa na kucha za hivyo, usafi wa maeneo ya whitehouse hufanywaje? hizi kucha si hatari kweli? ninatamani jibu litoke kwa mdau mwenye kucha hizi
 
Kufuga kucha /kubandika kucha ni urembo tu tena unakuwa smart !ila sasa kila mtu anapenda sytles zake wengine wanapenda ndefu km hizo hapo juu wengine tunapenda fupi lakini safiiii! Haina shida!

Wengine kucha tunaombeaga hela/ misamaha' tukiwkosea wapendhi wetu' ! unamkuna kuna shingoni/kifuani anakusamehe na fungu anakukatia ! ila fupi ndo zinapendeza zaid km ni mwanamke ulie na majukumu ya kifamilia ! mie nafuga lakini huwa nazishape ziwe fupi za kuvutia!
Hivi mnafuga au mnabandika?
 
Back
Top Bottom