Sijawahi kuona mtu yeyote akijipiga picha au akipigwa!

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Sep 6, 2014
6,170
7,662
Habarini Jamani

Now days kuwa na socia media nyingi sana ambazo mtu unaweza upload Picha na watu waki access wanaeza ziona hizo picha ulizo share

mfano mzuri ni Instagram,Facebook,Whatsapp,Imo na mitandao mingine mingi

Huko kote naziona picha za watu wengi sanaaa! Including wale ninao wafaham na nisio wafahamu, kwa ninao wafahamu mara nyingi huwa ni marafiki zangu na hata wale wasio marafiki zangu

Chakushangaza picha zao huwa naziona tuu huko sijawahi muona hata mmoja akiwa kwenye process ya kupiga picha! Ili hata akishare nitasema Yes hii picha niliona wakati inapigwa lakini hilo sijawahiiii

Na picha zingine zimekuwa zikipigwa maeneo ya wazi kabisa lakini hata hizo sijawahi,mbaya zaidi hata picha anazo piga mtu akiwa beach pia sijawahi kumuona mtu akipiga picha ila naona tu wakishare na kujisemea hapa ni kunduchi beach, hapa ni Kawe beach, hapa ni southen beach au hapa ni Mbalamwezi beach lakini sijawahi kumuona yeyote yule akipiga picha

Dukuduku langu ni kuwa hawa watu hupiga picha mda gani? Na je huu ni mkosi au laana kwanini nakuwa sioni mtu akipiga picha....au na wenzangu ni kama mimi

Ombi siku ukiwa unapiga picha plz niiteni na mimi japo niwaone wakati wakupiga picha nisione tu zimepostiwa
 
Tafuta mtu akupige picha halafu utaipost kwenye social media, nahisi itakua umeshapata ufumbuzi
 
Back
Top Bottom