Sijawahi kuona mkoa wa Kagera unakosekana katika 10 bora ya matokeo yoyote ya elimu Tanzania

Ahahahahaaaahahhahhaaha pole sana mkuu , mfano kwanini asilete alioongoza kitaifa kwenye mwako huo , akaenda kutafuta kasehemu kasayansi ili avutie kwake haonekane mtu wa maana, hizi akili zinatia mashaka sana ahaahhhhhahaha
Umejua alikuwa anajibu swali gani?? Ameulizwa leta T.O wa kihaya. Sasa ulitaka alete timu nzima?? Ndo maana mnakula ziro. Kujibu maswali bado ni tatizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa Amekuamrisheni deen ile ile anawaambia kina nani koloani ijibu hatuna haja ya jibu na masudi naona umeelewa mkulu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna tabu Quran mbona iko wazi , ni wewe tu na akili yako mbovu
Ibrahim alikua muislam
QURAN 3:67
";Ibrahim hakuwa Yahudi wala mkristo, lakini alikuwa mwongofu MUISLAMU, wala hakuwa katika washirikina";

hivyo sisi kuitwa waislamu hatujaanza jana, tulianza zamani kabisa wakati huo , hata Mohammed ajazaliwa
QURAN 22:78
"; wala hakuweka juu yenu mambo mazito katika dini. Nayo ni mila ya baba yenu Ibrahim. Yeye (Mwenyezi Mungu ) ALIKUITENI WAISLAMU tangu ZAMANI,na katika hii (Quran) pia , ili awe mtume shahidi juu yenu, na nyinyi muwe mashahidi kwa watu ";

waislamu waliitwa hivyo kabla ya Quran na wanaitwa hivyo wakati wa Quran, hii dini Mohamadi(S.A.W) wala hakuanzisha yeye, swali jingine kijana
 
Hakuna tabu Quran mbona iko wazi , ni wewe tu na akili yako mbovu
Ibrahim alikua muislam
QURAN 3:67
";Ibrahim hakuwa Yahudi wala mkristo, lakini alikuwa mwongofu MUISLAMU, wala hakuwa katika washirikina";

hivyo sisi kuitwa waislamu hatujaanza jana, tulianza zamani kabisa wakati huo , hata Mohammed ajazaliwa
QURAN 22:78
"; wala hakuweka juu yenu mambo mazito katika dini. Nayo ni mila ya baba yenu Ibrahim. Yeye (Mwenyezi Mungu ) ALIKUITENI WAISLAMU tangu ZAMANI,na katika hii (Quran) pia , ili awe mtume shahidi juu yenu, na nyinyi muwe mashahidi kwa watu ";

waislamu waliitwa hivyo kabla ya Quran na wanaitwa hivyo wakati wa Quran, hii dini Mohamadi(S.A.W) wala hakuanzisha yeye, swali jingine kijana

Huyo ni ibrahim wa koloani dhahir kabisa yeye alipo uona mwezi akasema ni Mungu wake
IMG_20190109_210033_693.jpg
Usiunge unge ili nawe uonekane hii deen inakuhusu! Hapo wanasomewa koloani watu wa makkah...
IMG_20181214_071044_259.jpg
miaka yoote 40 muhammad alikuwa kafir
IMG_20190109_214545_689.jpg
wewe inasema uisilamu ulianza Ibrahim alikuwa hayaoni Mahekalu na Masinagogi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ma TO walikua wengi , kwanini asiwape wale wengine credit , katafuta anae mtaka ndio katuletea , hili ni tatizo
Kweli we pompompo! Marais ni wengi ndio, ila ukiambiwa tutajie rais mweusi utawataka tena wote kwa kuwa ni marais??

Mtu kaambiwa ataje T.O mhaya aanze kuorodhesha wote?? Hebu fungeni uzi mkojoe hamna tena points

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ENDELEENI KUKARIRI TU, Tafuta mikoa yenye watu wasiojua kusoma unambie kagera ni ya ngapi.

Lakin pia zama za nshomile ilikuwa zamani ambapo maprofesa weng walikuwa wahaya na kubania wengine wasio wakagera ktk kupata uprofesa nk. Lakin pia watu hawa wanaongoza kwa cheating sn.

Pia kagera shule ni chache mno na idadi ya wahitimu ni ndogo sn ukilinganisha na mikoa mingine.

Nchi hii inawatu katk mikoa mingine walioenda shule weng, mf Kilimanjaro ( kumbuka walishakuwa na shule ngazi ya kata hata kabla ya 2005 na idadi ni kubwa kubwa ya ya wahitimu), Kigoma ina watu wenye akili sana, Ukerewe, Songea, nk na wanaongezeka kwa kasi hyo Kagare ni zaman hizo
Maneno bila kielelezo chochote ni upuuzi. Sasa hivi hata sisomi mpaka mwisho. Mnakera.

Kwa nini mruke ruke tu?? Hivi ukiweka kaevidence unakufa??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu angalia wanafunzi katika wilaya ya muleba kama hawazidi nusu ya mkoa wako huo unaosifia ? Na matokeo haya je halafu unaponiambia shule ni chache sikuelewi leta hizo data . sijaona data hata moja ya watu wa Kilimanjaro ni phorojo tuView attachment 989381View attachment 989382View attachment 989386

Sent using Jamii Forums mobile app
Usijibizane na hao wanywa mbege walevi wenye meno meusi wanaoandika mbege hapa bila vielelezo. Wamechoka sana kaka. Tumewaua mbali mno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilitoa rai kuwa ntakapokuja na data naomba watu wasikimbie bali tuendelee kubishana kisayansi ( tukiwa na ushahidi na sio hisia)..

Kwa mujibu wa National Bureau of statistics Tanzania ukipenda iite nbs ( unaweza kuwatembelea kupitia tovuti yao nbs.go.tz) Mkoa wa Kagera umepitwa mbali sana na mkoa wa Kilimanjaro kwa kuwa na idadi kubwa ya watu wanaojua kusoma na kuandika.


Kwa maneno mengine ni hivii, pamoja na masifa na mbwembwe za wakazi wa mkoa wa kagera ni asilimia 76 tuu ya wakazi wa mkoani Kagera wanaojua kusoma na kuandika ili hali Asimilia 92 ya wakazi wa Mkoa wa kilimanjaro wanajua kusoma na kuandika !

Kwa mantiki hii , ni wazi mkoa wa kagera upo nyuma sana maana hata Tanga (wanalchukiliwa kirahisi kwenhe elimu)wamewapita kwa kuwa na asilimia 79 ya wanaojua kusoma na kuandika... hivyo basi kuilinganisha Kagera na Kilimanjaro kwenye suala la Elimu ni sawa na kulingamisha Mlima na kichuguu maana mkoa wa kilimanjaro unahitaji asilimia 8 tuu kutimiza asilimia 100 ya watu wanaojua kusoma kuandika wakati kwa Kagera inahitajika asilimia 24 nzima .

Kumbuka hapo tunazungumzia watu zaidi laki 5 hawajui kusoma wala kuandika katika mkoa wa wasomi ......

Inasikitishana sana kwa kweli maana huo muda wa kujisifu hapa wangetumia hata kufundisha wenzao kusoma na kuandika...

Mjisomee wenyewe hapo chini kwenye attachments.View attachment 989760

Sent using Jamii Forums mobile app
Eti huyu nae kajikoki kaja na data

Sasa kama hawajui kusoma mbona wanawakalisha?? Huoni aibu kweli????? Serious???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona huu uzi muda si mrefu utageuka kuwa uwanja wa ngumi kati ya k'njaro na Kagera.
Hebu acha mambo yenu msaidieni Ndalichako kwa nini mikoa mingine Kama kwake Kigoma na jirani zake Tabora, Katavi, Rukwa kwa nini hawafanyi vizuri?
Hiyo uliyotaja,, waache tu uchawi watafanya vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo ni ibrahim wa koloani dhahir kabisa yeye alipo uona mwezi akasema ni Mungu wake View attachment 990445 Usiunge unge ili nawe uonekane hii deen inakuhusu! Hapo wanasomewa koloani watu wa makkah... View attachment 990497 miaka yoote 40 muhammad alikuwa kafir View attachment 990505 wewe inasema uisilamu ulianza Ibrahim alikuwa hayaoni Mahekalu na Masinagogi

Sent using Jamii Forums mobile app
Utaelewa tu wewe jitoe akili , Ibrahim tumemaliza pasi na shaka alikua muislamu
MUSA NA WAFUASI WAKE

QURAN 10:84
"; Na Musa alisema; Enyi watu wangu ! ikiwa nyinyi mmemuamini Mwenyezi Mungu basi mtegemeeni Yeye, ikiwa nyinyi ni WAISLAMU";

huyu Musa anathibitisha Uislamu kabla ya Mohammed , swali jingine
 
Kweli we pompompo! Marais ni wengi ndio, ila ukiambiwa tutajie rais mweusi utawataka tena wote kwa kuwa ni marais??

Mtu kaambiwa ataje T.O mhaya aanze kuorodhesha wote?? Hebu fungeni uzi mkojoe hamna tena points

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeishiwa hoja braza, umegundua ni jambo la kawaida, ila wewe umelikuza humu, ili uonekane wewe muhaya umefanya jambo kubwa , huu ni upuuzi
 
Utaelewa tu wewe jitoe akili , Ibrahim tumemaliza pasi na shaka alikua muislamu
MUSA NA WAFUASI WAKE

QURAN 10:84
"; Na Musa alisema; Enyi watu wangu ! ikiwa nyinyi mmemuamini Mwenyezi Mungu basi mtegemeeni Yeye, ikiwa nyinyi ni WAISLAMU";

huyu Musa anathibitisha Uislamu kabla ya Mohammed , swali jingine

Hizo beti za mashairi unayo ghani humu eti ndio ushahidi kwamba uislamu ulianza zamani kwa akili yako ya kizwazwa una HAKIKA shetani HAWEZI kughani hiyo mistari hizo ni stori ambazo baba kassim alikuwa akiwasomea warabu wa makkah
IMG_20190110_073018_560.jpg
na Mwenyewe baba fatuma amebainisha bila kificho
IMG_20181216_154843_613.jpg
masudi usiharibu uzi wa wenyewe acha wenyewe waogelee wakifika pwani na SISI tuanze kuogelea kama una hamu sana twende inbox dogo....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi wanawalaza. Maana naona we kichwa mashugi

Sent using Jamii Forums mobile app
Toa uthibitisho..

Vinginevyo vyote utakavyosema havina tofauti na kinyesi cha kuku...


Nimetoa hoja nikiattach ushahidi wa Sensa kuwa mkoa wa Kagera una asilimia 76 tuu ya watu wanaojua kusoma na kuandika halafu mnaishidanisha na kilimanjaro yenye asilimia 92!!!!!!

kama unabisha uje facts sio hizi mbolea na mashudu unazomwaga hapa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom