sundoka
JF-Expert Member
- Oct 9, 2011
- 2,067
- 2,751
Umejua alikuwa anajibu swali gani?? Ameulizwa leta T.O wa kihaya. Sasa ulitaka alete timu nzima?? Ndo maana mnakula ziro. Kujibu maswali bado ni tatizoAhahahahaaaahahhahhaaha pole sana mkuu , mfano kwanini asilete alioongoza kitaifa kwenye mwako huo , akaenda kutafuta kasehemu kasayansi ili avutie kwake haonekane mtu wa maana, hizi akili zinatia mashaka sana ahaahhhhhahaha
Sent using Jamii Forums mobile app