sundoka
JF-Expert Member
- Oct 9, 2011
- 2,067
- 2,752
Sensa inaonesha umaskini wa mikoa tena!? Hivi sensa ya mwisho kufanyika ni lini? Sio 2012 kweli?? Au ndo karibuni hiyo??Sensa ya hivi karibuni ilionesha mikoa ambayo wananchi wake wana umaskini wa kutupa ni Kagera na Kigoma !
Sasa tambo za elimu zinatoka wapi?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app