Sijawahi kuona mkoa wa Kagera unakosekana katika 10 bora ya matokeo yoyote ya elimu Tanzania

Angalia wakubwa zao.
Ukisema kumi bora ni nusu ya mikoa.
Achana na KILI
tapatalk_1548440433451.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nilijua huyo Atughulile ni Mnyakyusa kwa sababu majina mengi ya wanyakyusa yanaanza na Atu...., Mfano atuganile, atupakishye, atupele n.k. Sikujua kama na nyie wahaya mnao akina Atu, kwa kinyakyusa Atughulile lina maana ya 'alitusubiri'. ila hilo jina jina lake la pili la Mlimba halijakaa kinyakyusa kabisa . Atughulile kwa kihaya lina maana gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata ukimuondoa huyo Atu, bado kuna wahaya wengine wawili. Kuna huyo Avith Kubani na huyo dada Kagemulo, na bado kuna top 10 ya boys kuna wa Katoke seminary ya Kagera

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umefika Kagera lini ndugu,acha hizi conspiracy theories kuwa wahaya hawajengi kwao,
Fika sasa HV uone,
Stendi nzuri ya msamvu,au ile ya singida,imejengwa na nani?wenyeji wa mikoa hiyo?au ni strategic plan za serikali?
Arusha kuwa Geneva of Africa,ni nyie Wachaga,wameru,wamaasai mliosababisha?au sehemu hiyo imeendelea kutokana na rasilimali za kitalii zilizojaa hapo?
Mkisema Moshi ni kama Ulaya,je Wazaramu nao wajisifie kwamba ndio wameijenga Dar?
Dar ni ya wazaramo,ni jiji kubwa zuri,lenye miundombinu mizuri kuriko mikoa yote,je imejengwa na wazaramo?
Fikiria

Sent using Jamii Forums mobile app
Umemaliza kila kitu! Eti unakuta mchaga anamshupalia mhaya kisa stend mbovu! Kwa hiyo mimi niache kujenga kijijini kwetu kwa baba na mama na ukoo wangu nijenge stendi ya mabasi!?

Nadhani lawama zielekezwe kwa serikali na sio wahaya. Ndo maana kila siku nawaambia mhaya anakimbilia kujenga kwao huko alipozaliwa. Ukifika vijiji vya wahaya utaamini wanajenga kwao! Sasa unaniambia mimi eti barabara za mjjni Bukoba zina vumbi kwa hiyo mimi ni mzembe! Kuna vitu vinachekesha


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaskazini inajengwa na wakaskazini..

Dar inajengwa na wakaskazini..

Sisi hatuwezi kuja kujenga uko kwenu maana mumejaa misifa mingi na usomi wenu wa kukariri ili kupanda vidato wakati elimu ya maisha ni ZERO.

Na ndo maana nikasema muje Kilimanjàro mujifunze namna kujenga mji wenu maan hakueleweki wapi mjini wapi kijijini.

Ilo lipo wasi kabisa, kagera ni moja ya mikoa masikini Tanzania japo muna wasomi wengi..

Sent using Jamii Forums mobile app
Kaskazini mmejenga nini?? Tofauti na kujenga nyumba zenu za kuishi?? Vilivyobaki ni serikali! Kuwekeza mnawekeza Moshi mjini na Arusha kama makabila mengine yanavyowekeza kwa kuwa pana utalii na mzunguko wa hela, sio kwa sababu ni nyumbani. Mbona wahaya kibao wameinvest hapo Moshi na Arusha na list naweza kukupatia!? Wamefanya makubwa sana hapo mjini wanawakimbiza wachaga? Mpo tu mmekalia sifa kwa kuwa wanawekeza kwenye miji ya mikoani kwenu ambapo hata sio kwenu kabisa maana nyie ni wa vijijin huko mawilayani!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umemaliza kila kitu! Eti unakuta mchaga anamshupalia mhaya kisa stend mbovu! Kwa hiyo mimi niache kujenga kijijini kwetu kwa baba na mama na ukoo wangu nijenge stendi ya mabasi!?

Nadhani lawama zielekezwe kwa serikali na sio wahaya. Ndo maana kila siku nawaambia mhaya anakimbilia kujenga kwao huko alipozaliwa. Ukifika vijiji vya wahaya utaamini wanajenga kwao! Sasa unaniambia mimi eti barabara za mjjni Bukoba zina vumbi kwa hiyo mimi ni mzembe! Kuna vitu vinachekesha


Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ingekuwa makabila na watu wake ndo wajenge miji Yao sijui bukoba ingelinganishwa na nini hapa bongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya niwaambia Kilimanjaro waseme, na sio Wahaya waKagerA, angalia idadi ya vituo na mkoa ni wa ngapi..........View attachment 1004439

Sent using Jamii Forums mobile app
Idadi ya vituo/shule sio point mzee! Labda ungeongelea idadi ya wanafunzi ningekuelewa! Sasa kama shule ni nyingi na wanafunzi ni wachache utazilinganisha na shule chache zenye wanafunzi wengi!??

By the way Dar ni ya pili kwa idadi ya vituo lakini kwa ufahulu ni ya 16 bado unasema vituo vinaendana na matokeo!!??
AIBUUU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado jina si kigezo cha mtu kutoka sehemu au mkoa fulani hiyo ni hoja dhaifu sana. Wahaya mnapenda sifa sana aisee.

Sent using Jamii Forums mobile app
Weweeeeee! Ulishaona mhaya anayeitwa Mushi??
Na kwa nini na nyie asiwepo aliyefahulu vizuri anayeitwa Mushi ili sisi tukatae kuwa sio wa Moshi?? Mmezuiliwa?? Hebu tuacheni. Na kwa taarifa yako kuna wahaya wengi hawatumii majina ya ukoo na wanafaya makubwa mnasema ni wa kwenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom