Sijawahi kuona mkoa wa Kagera unakosekana katika 10 bora ya matokeo yoyote ya elimu Tanzania

Sensa ya hivi karibuni ilionesha mikoa ambayo wananchi wake wana umaskini wa kutupa ni Kagera na Kigoma !
Sasa tambo za elimu zinatoka wapi?!


Sent using Jamii Forums mobile app
Wao wamejaa masifa tu wanasahau kujenga kwao na kuishia kujazana apo dar tu.

Waje wajifunze namna ya kuendeleza kwao na sio kungoja serikali iwajengee nyumba.

Zile nyumba zao za mwaka 47 kitetemeko kikipita kidogo tu nyumba zote chali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikweli kabisa ingawaje kuna hujuma lakini bado Wahaya hawakati tamaa, apa nionacho ni mwamko mkubwa na jadi ya Wahaya kuthamini ELIMU kuliko kitu chochote.
Mikoa mingine mna la kijifunza apa unamkuta Mhaya hana ata baiskeli lakini anasomesha watoto watatu privates school kwa mwaka anatumia zaidi ya milioni sita.

Hili nijambo kubwa linalostahili kuhigwa. NSHOMILE

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe umesoma? "kuhigwa" ndio kitu gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wao wamejaa masifa tu wanasahau kujenga kwao na kuishia kujazana apo dar tu.

Waje wajifunze namna ya kuendeleza kwao na sio kungoja serikali iwajengee nyumba.

Zile nyumba zao za mwaka 47 kitetemeko kikipita kidogo tu nyumba zote chali.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ulishawahi kuexpirience tetemeko? Hebu tazama kijiji hiki huko bukoba uje uongee hapa kuwa bukoba vijijini ni pabaya Acha kuongea Kwa hisia
DV2A4490%20(1).JPG


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tulishaongelea Hilo swala na kuleta fact kabisa kuwa wanafunzi wengi wasomeao Kilimanjaro sio wa mkoa huo na kuwaonesha shule za kagera zilivyojaa wahaya Tu.mfano katika matokeo hayo huyo wa kumi kitaifa amesomea Kilimanjaro lakini ni muhaya wa bukoba kabisa huyo karugwa.nawe leta proof kuwa wasomeao shule hizo ni wenyej .tazama pia wahaya wako watatu katika matokeo hayaView attachment 1004381

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ujinga jibu hoja.
Kwa hiyo wote wanaosoma bukoba ni wahaya. Tunataka kujua kuwa ni mkoa upi unaotoa elimu bora na ufaulu mkubwa kati ya bukoba na kilimanjaro.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom