Sijawahi kuona mke akitoa siri za mumewe kuwa ana show mbovu au kibamia

Ila kuna ukweli hapa.

Wanawake weng pamoja na Hulka zao za umbea umbea ila hawawasemi vibaya wanaume waliowah kuwa nao kimausiano.

Labda pengine kwasababu Mapenz yao yako pure. Au kwakuwa wakipenda wamependa kweli.
Na hata mkiachana atakuheshimu, unless kama mmeachana vibaya na akasikia maneno maneno umeanzisha ww.

Wanawake wetu wana siri sana etii.
Wengi sana hawajawahi kuridhishwa na waume zao miaka na miaka na wanavumilia tu.

Aiseee. Ni moyo wa kipekeee, Mungu amewabariki kuwa nao.

Blessed goes to you all ambao mko hivi.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Ila wanaume ndo tunaongoza kwa kutokua na siri, wanawake sijui wan moyo gani, wabarikiwe kwa kweli wanakufa na siri zenu nyie show mbovu....
Sio wanaume wote wenye hulka ya kutoa siri za wanawake wanaokutana nao kimwili hata baada ya kuachana.
 
Mke wa mtu hatoi public anatoa kwa anae mdinya sasa ukitaka ujue Siri zako watafute marafik wa anamdinya mke wako
Hata hao marafiki wanaomdinya mke wamtu, sio siro zote hupata, labd km huyo mke ni wale wadangaji(hope unanielewa apa), kwa mke anaejieshim(na ndio weng walioolewa), awezi kumsema mme wake kwa ivo vitu, sawa atamsema ila si kwa hivyo unavyomaanisha wewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom