Sijawahi kuona mama mwongo na mnafiki kama huyu mjane

jamani naomba mtu anaejua watu wangapi walikufa kwenye maandamano ya zanzibar nakumbuka ni tarehe 28.01 na kuna wengine walikimbilia mombasa kama wakimbizi..je CUF kina walipa bei gani wajane kila mwezi na wataendelea kufanya hivyo mpaka mwaka gani..
 
Huitaji kushirikisha ubongo kung'amua kwamba huyu mama anatumika.. Ningemuelewa kama ningecikia ameenda kwenye vyombo vya habari kulalamika kama kweli alidhulumiwa.. Na angesema hatua kadhaa alizozifanya katika kufuatilia hiyo "haki" yake anayodai kudhulumiwa.. Ni jambo la fedheha pale chama cha upinzani kinapotumia mbinu chafu na za ghilba kukichafua chama kingine cha upinzani.. Naamini hata wale wachache waliokuwa na shaka kama CUF haina ubia na CCM wameanza kuondoa shaka hiyo hiyo na kuamini kwamba CUF ni CCM B.. Aibu yenu hii..
 
Chadema walitoa kauli ya kisiasa waandikwe vizuri kwenye vyombo vya habari kuwa wanajali sana wafuasi wao na waendelee kujitolea kufa ili mwisho wa siku chadema kikamate dola.

Kauli za kisiasa ni kawaida kwa vyama vyote vya siasa iwe CCM au CUF au CHADEMA ndiyo maana wajanja kama mimi siwezi kujitolea kufa kukipa chama cha siasa umaarufu huku familia yangu nikiicha inateseka, ila kama nina mategemeo ya kunufaika kisiasa kama vile kupigania ubunge, kuukwaa uwaziri siku moja basi nitakuwa kimbele mbele kwa kila kitu.

otherwise, kazi inayonipa mkate wangu wa kila siku na kunifanya mimi na familia yangu tuwe juuu ndiyo ninaisujudia na siyo kushinda juani nikisubiri wanasiasa kuja kunidanganya

Hapo kwenye red,
Unaonyesha kabisa wewe si mjanja. Hakuna kauli kama hii iliyotolewa na Chadema.
Hapo umeandika ki-CCMzaidi !! Yaani wewe si mjanja kama unavyodai, ila wewe ni CCM zaidi.
Kama Chadema wangetoa kauli kama hizo, hiyo ingekuwa mtaji mkubwa sana kwa msajili wa vyama kuifuta Chadema.
Chadema itashika dola kwa amani kabisa, ndio maana polisi wenu wako busy kujaribu kuzuia hilo lisitendeke kwa kuuwa watu wasio na hatia ili kuichafua Chadema.
 
Yaani huyu mama kusema kweli mmekula pesa zake kama rambirambi leo amekuwa muongo.

Kula pesa za mtu ni criminal offense. Sasa kama kweli pesa zake zimeliwa, msaidieni kuchukua hatua za kisheria.
Kama hatua za kisheria hazitachukuliwa, basi wewe Ritz, CUF ma huyo mama wote ni waongo na wanafiki wakubwa.
Kesho na kesho kutwa tunaweza kumsikia tena kwenye mkutano mwingine akiwalaumu CUF kwa 'kula' pesa zake zilizochangwa kwenye mkutano huo hapo kwenye picha, maana wamempa hizo pesa mkononi bila kumsainisha popote.
 
daud mwangosi chadema mmetangaza mpaka kugawana familia yake na kuihudumia ya ismail hatujasikia lolote mi naamini kabisa huyu mjane hakuna alichoambulia kutokana na rambi rambi za mume wake na hii yote ni kutokana na imani yake marehemu sababu si mkatoriki aiingii akilini afe daudi chadema muandamane na kumtaka said mwema ajiuzuru ameuwawa Ismaili hamjaandamana kwanini na yule alikuwa mwanachama wenu? mwislamu kuipigia debe chadema ni sawa na kujichimbia kaburi lako mwenyewe watakujali watapokuwa na shida wao hawatakujali utakapokuwa na shida wewe naapa kwa yule alie umba dunia na ardhi endapo chadema watachukua nchi tutashuhudia vita vya kidini na mwisho wa amani tz
 
Yaani huyu mama kusema kweli mmekula pesa zake kama rambirambi leo amekuwa muongo.

ungekuwepo pale uwanjani, sio tu huyo mama ni mwongo, bali pia mwandishi ndiye hovyo kabisa. Mama yule alisema cdm walimpa rambirambi halafu hajawaona tena. Akasema wamemtafuta zaidi ya mara tatu ila hawakuweza kumwona kwa kuwa alikuwa Tanga. Tangu amerudi hajafanikiwa kuwaona viongozi hao na maisha yamemuwia magumu! Hayo ya mwandishi sijui kayatoa wapi. Na huyo mama nae anatumika tu! Hata maelezo yake yanaonekana yakutengenezwa ndio maana anajichanganya!
 
ukweli umesha julikana kutokana na malalamiko yalotolewa na mjana wa mwangosi leo.
Huyo mama wa arusha hakudanganya, ndo wanasiasa wetu walivyo.
 
Matatizo ya kuleta siasa na kuuza sura misibani.
Huyu wamempotezea na mke wa Daudi M wamempotezea tena
 
Chadema walitoa kauli ya kisiasa waandikwe vizuri kwenye vyombo vya habari kuwa wanajali sana wafuasi wao na waendelee kujitolea kufa ili mwisho wa siku chadema kikamate dola.

Kauli za kisiasa ni kawaida kwa vyama vyote vya siasa iwe CCM au CUF au CHADEMA ndiyo maana wajanja kama mimi siwezi kujitolea kufa kukipa chama cha siasa umaarufu huku familia yangu nikiicha inateseka, ila kama nina mategemeo ya kunufaika kisiasa kama vile kupigania ubunge, kuukwaa uwaziri siku moja basi nitakuwa kimbele mbele kwa kila kitu.

otherwise, kazi inayonipa mkate wangu wa kila siku na kunifanya mimi na familia yangu tuwe juuu ndiyo ninaisujudia na siyo kushinda juani nikisubiri wanasiasa kuja kunidanganya
Unatumia kigezo kipi kujiita wewe mjanja? Tutajuaje kama familia yako ina hali nzuri kwa sababu ya ujanja wako? Acha kutoa ushuuzi wako hapa eboo!
 
ukitaka akae kimya ajapewa hela zake
maiti ikae kimya na yeye anapumua akae kimya???umeona huyo mtoto aliebebewa unahisi analishwa na mawe
atasomeshwa na mawe ??embu weka vizuri nimeona maneno yako sijaona sehemu kamili kama huyu mama
amelipwa ...na cdma
kinachoonekana huyu mama alipokea michango ya mdomo huko chadema bila kujua
cash na porojo vitu viwili tofauti
Tangu lini rambirambi ikawa malipo? malipo kwa kazi gani? kwani marehemu aliwekeana mkataba kwamba akiuawa kwenye maandamano familia yake ilipwe kiasi gani?
 
daud mwangosi chadema mmetangaza mpaka kugawana familia yake na kuihudumia ya ismail hatujasikia lolote mi naamini kabisa huyu mjane hakuna alichoambulia kutokana na rambi rambi za mume wake na hii yote ni kutokana na imani yake marehemu sababu si mkatoriki aiingii akilini afe daudi chadema muandamane na kumtaka said mwema ajiuzuru ameuwawa Ismaili hamjaandamana kwanini na yule alikuwa mwanachama wenu? mwislamu kuipigia debe chadema ni sawa na kujichimbia kaburi lako mwenyewe watakujali watapokuwa na shida wao hawatakujali utakapokuwa na shida wewe naapa kwa yule alie umba dunia na ardhi endapo chadema watachukua nchi tutashuhudia vita vya kidini na mwisho wa amani tz
Kumbe ndio maana huko Tunduru mumeanza kuchoma magari na nyumba za wakristo!!! bahati nzuri sana dua lako na kiapo chako cha kishirikina hakitapokewa na muumba wa dunia kwa sababu yeye sio muovu kama ulivyo wewe shetani mkubwa!
 
tangu lini rambirambi ikawa malipo? Malipo kwa kazi gani? Kwani marehemu aliwekeana mkataba kwamba akiuawa kwenye maandamano familia yake ilipwe kiasi gani?

so mnavyotangaza rambi rambi ya kiasi fulani mnakuwa mnagawa kadi za chama ama??
 
unatumia kigezo kipi kujiita wewe mjanja? Tutajuaje kama familia yako ina hali nzuri kwa sababu ya ujanja wako? Acha kutoa ushuuzi wako hapa eboo!

mmmh nyie watoto wa mtendeni academy mnashida loh
amkuona rwakatare mission centre jamani leo hii twaita st merry mpaka mnakuja kuandika bila kusoma mnachoandika babazenu wanasoma naamini kama umeoa basi mkeo akikupa unyumba amekukosea kweli
 
Majibu yaliyotolewa kuhusu michango binafsi hayajaniingia akilini, yaani mkutano mkubwa kama wa CDM zipatikane 200,000.00 peke yake!!!!!!!

Hapa tuache ushabiki unless otherwise kuna shida.

Kwani wewe ulitegemea ipatikane Sh. ngapi labda?? Ule si mchango wa hiari tu, kila mtu anatoa apendavyo na pia sio wote watatoa.
 
Majibu yaliyotolewa kuhusu michango binafsi hayajaniingia akilini, yaani mkutano mkubwa kama wa CDM zipatikane 200,000.00 peke yake!!!!!!!

Hapa tuache ushabiki unless otherwise kuna shida.
Thread hii inanikumbusha ule msemo kuwa 'Ukiona manyoya Ujue ameliwa' . Kuna kila dalili za kuliwa kwa rambirambi hizo. Kama si hivyo Katibu angejua ni kiasi gani kilikusanywa wakati wa Harambee hiyo na kiasi gani alikabidhiwa...na jinsi wanasiasa wanavyotafuta ujiko picha za makabidhiano hayo zingepambwa katika vyombo vingi vya habari!!! Mnyone mnyongeni lakini Haki yake Mpeni!.
 
mmmh nyie watoto wa mtendeni academy mnashida loh
amkuona rwakatare mission centre jamani leo hii twaita st merry mpaka mnakuja kuandika bila kusoma mnachoandika babazenu wanasoma naamini kama umeoa basi mkeo akikupa unyumba amekukosea kweli
Haya ndio mawazo ya mtu anayejinasibu kuwa ni mjanja!Huna ujanja wowote, zaidi zaidi wewe ni mpumbavu wa kutisha na mawazo yako yote ya mesinyaa, unawaza ngono tuuuu!!!badala ya kuwaza fikra za kisomi. Sio kosa lako, ni elimu duni ya shule za kata uliyopewa. Pole sana, zilaumu sera za elimu duni zilizowekwa na CCM ambazo wewe kama zuzu umeamua kuzitetea hapa.
 
Kageuza msiba kama mradi. Milioni 5 ni msingi tosha kwa mtu makini.kama hizo ameshindwa kufungua hata genge la nyanya basi hafai huyu !!

Nimeipenda hii,yaani una mawazo kama yangu,huo muda anaotumia kuzunguka kwenye majukwaa angeanzisha mradi na hiyo 5m,angekuwa so far jamani..
 
Back
Top Bottom