Sijawahi kumuona Bashiru kavaa suti sasa hivi atavaa

The Stress Challengerr

JF-Expert Member
Jan 18, 2020
2,393
6,547
Inakuwaje wanajamvi!

Sijawahi kumuona katibu mkuu mpya kiongozi ndani ya suti. Sasa hivi piga ua garagaza zika fukua lazima atinge suti tu.

Kama ilikuwa masharti imekula kwake.

1614413178364.png
 
Kuvaa suti mchezo?
Suti Ni vazi lenye heshima yake.

Mfano hupashwi kuongea umbea ukiwa umevaa suti. Siongelei hizi suti ambazo koti Ni Ilala na suruali tandika mitumbani. Naongelea suti Kama zangu.

Ukivaa suti hupashwi kula kwa mama ntilie Wala kula supu ya utumbo. Ukivaa suti hupashwi kuongozana na mwanamke aliyevaa Dera au anaeongea ongea ujinga.

Ni muhimu mvaa suti ajue kiingereza Safi.
Mwiko kusimamia kwenye daladala ukiwa na suti.

Kiujumla Sheria za suti ziko kumi na Tisa.

Haya atayaweza?
 
Inakuwaje wanajamvi!

Sijawahi kumuona katibu mkuu mpya ndani ya suti. Sasa hivi piga ua zaragaza zika fukua lazima atinge suti tu. Kama ilikuwa masharti imekula kwake.
Akili za kuambiwa, changanya na za kwako.
 
Kuvaa suti mchezo?
Suti Ni vazi lenye heshima yake.
Mfano hupashwi kuongea umbea ukiwa umevaa suti. Siongelei hizi suti ambazo koti Ni Ilala na suruali tandika mitumbani. Naongelea suti Kama zangu.
Ukivaa suti hupashwi kula kwa mama ntilie Wala kula supu ya utumbo. Ukivaa suti hupashwi kuongozana na mwanamke aliyevaa Dera au anaeongea ongea ujinga.
Ni muhimu mvaa suti ajue kiingereza Safi.
Mwiko kusimamia kwenye daladala ukiwa na suti.
Kiujumla Sheria za suti ziko kumi na Tisa.

Haya atayaweza?
Weka na kapicha mkuu.
 
Kama umekulia kijijini Kama KIDUKU Lilo siku ya kwanza kuvaa suti huwa mtihani kweli kweli, unaHISI Kama kila mtu anakuangalia, kumbe hata madem hawana time na wewe, labda wamama single mothers.
 
Kuvaa suti mchezo?
Suti Ni vazi lenye heshima yake.
Mfano hupashwi kuongea umbea ukiwa umevaa suti. Siongelei hizi suti ambazo koti Ni Ilala na suruali tandika mitumbani. Naongelea suti Kama zangu.
Ukivaa suti hupashwi kula kwa mama ntilie Wala kula supu ya utumbo. Ukivaa suti hupashwi kuongozana na mwanamke aliyevaa Dera au anaeongea ongea ujinga.
Ni muhimu mvaa suti ajue kiingereza Safi.
Mwiko kusimamia kwenye daladala ukiwa na suti.
Kiujumla Sheria za suti ziko kumi na Tisa.

Haya atayaweza?
Mkuu fungua uzi utupe ilimu juu ya sharia kumi na Tisa (19) za Suti.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom