warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,273
- 18,380
Ila wanazengo, katika wambea wa insta ambao siwaelewagi ni huyu Rachel dangwa, sijui shoga yetu hazimo kichwani, yani mambo yake jamani na vitu anavyopost insta utasema huyu hamnazo, mwenzenu huwa nachekaga kila siku nikiona sura yake, yani anajifanya anachamba kuchamba kwenyewe hajui.
Nasikia yuko china sijui Ndo beki tatu huko , nguo zake Sasa akivaa kama yondo sister , hajui kuvaa utadhani yupo tandale kwa mtogole, akianza kuongea Sasa anajikuta kim kardashian sauti analegeza , kuongea English yenyewe hajui khaa, ila nampenda bure Rachel wangu na uchiz wake