Memories of midnight by Sydney Sheldon
R. I. P Heath Ledger
#Do you wanna know where I got this scars?
Kisome,kitamu sana, kama unaona uvivu kusoma, ingia YouTube kuna hiyo moviehichi kitabu kipo kwenye shelf la shangazi kila siku nakionaga with alot of exitment ila sikisomi sijui kwa nini
Kisome,kitamu sana, kama unaona uvivu kusoma, ingia YouTube kuna hiyo movie
Na Zile uniform za UNESI DAH.Kuna scene moja naikubali sana,
Ni Ile scene ambayo analipua hospital, alitakiwa awe anatembea alafu anabonyeza kitufe huku mjengo unaanguka, Ila alivyobonyeza kitufe haikulipuka kulitokea tatizo kwenye mfumo, Ila jamaa alitumia akili sana akaingiza vionjo vyake mwenyewe, la sivyo wangepiga hasara kuujenga tena ule mjengo.
Yuup inaitwa Joker.... imetoka tareh 4 mwez huu. Inaelezea history ya Arthur Fleck mpaka alpokuja kua the Joker na nini kilisababishaNasikia kuna nyengine mpya imetoka
Kama kuna muigizaji hapa duniani aliyewahi kuuutendea haki uhusika wake ktk movie basi Heath Ledger akiigiza kama the Joker anastahili mojawapo ya nafasi za juu kama siyo ya kwanza kabisa! Binafsi si mpenzi sana wa superhero genre japo kuna baadhi ya superhero movies nazikubali ila kwa The Dark Knight nilimnyooshea mikono Heath Ledger. Kuna wakati nairudia movie na kupeleka mbele sehemu nyingine zote ili nione scene za Ledger tu!
Jokerman ana Quotes balaaNa Zile uniform za UNESI DAH.
Kwa kweli alikamua mno....Kuna Ile scene alikuwa amemning'iniza RACHEL ghorofani. Sasa BATMAN akamwambia "LET HER GO" akimaanisha asimdhuru Rachel..eti JOKER akajidai hajaelewa akamuachia aanguke huku akisema "VERY POOR CHOICE OF WORDS"
Hata kama lugha inazingua,uwe una download subtitles na pia download English to English dictionary ili ikitokea kuna maneno hujayaelewa unayatafuta.Wale tunaosubiri itafsiriwe ili tuiangalia tukutane hapa.
Mkuu COMPTON BLVD sio Jokerman ni the Joker, ukisema Jokerman unakuwa unamaanisha vitu vingine.