Sijawahi kuichoka hii movie. Tatizo kila nikiiangalia ROHO inaniuma Sana Hadi machozi yananitoka

Kuna scene moja naikubali sana,
Ni Ile scene ambayo analipua hospital, alitakiwa awe anatembea alafu anabonyeza kitufe huku mjengo unaanguka, Ila alivyobonyeza kitufe haikulipuka kulitokea tatizo kwenye mfumo, Ila jamaa alitumia akili sana akaingiza vionjo vyake mwenyewe, la sivyo wangepiga hasara kuujenga tena ule mjengo.
 
Na Zile uniform za UNESI DAH.

Kwa kweli alikamua mno....Kuna Ile scene alikuwa amemning'iniza RACHEL ghorofani. Sasa BATMAN akamwambia "LET HER GO" akimaanisha asimdhuru Rachel..eti JOKER akajidai hajaelewa akamuachia aanguke huku akisema "VERY POOR CHOICE OF WORDS"
 
Kama kuna muigizaji hapa duniani aliyewahi kuuutendea haki uhusika wake ktk movie basi Heath Ledger akiigiza kama the Joker anastahili mojawapo ya nafasi za juu kama siyo ya kwanza kabisa! Binafsi si mpenzi sana wa superhero genre japo kuna baadhi ya superhero movies nazikubali ila kwa The Dark Knight nilimnyooshea mikono Heath Ledger. Kuna wakati nairudia movie na kupeleka mbele sehemu nyingine zote ili nione scene za Ledger tu!

Dah Yani na Mimi Ni hivyo hivyo mkuu...umekuwa Kama unaniongelea Mimi.
 
Na Zile uniform za UNESI DAH.

Kwa kweli alikamua mno....Kuna Ile scene alikuwa amemning'iniza RACHEL ghorofani. Sasa BATMAN akamwambia "LET HER GO" akimaanisha asimdhuru Rachel..eti JOKER akajidai hajaelewa akamuachia aanguke huku akisema "VERY POOR CHOICE OF WORDS"
Jokerman ana Quotes balaa
 
Usipende kuangalia za kutafsiriwa mkuu,zinapunguza uhalisia wa movies...
Wale tunaosubiri itafsiriwe ili tuiangalia tukutane hapa.
Hata kama lugha inazingua,uwe una download subtitles na pia download English to English dictionary ili ikitokea kuna maneno hujayaelewa unayatafuta.
 
"If you are good at something, never do it for free."
Screenshot_20190212-232841.jpeg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom