Sijawahi kufanya mapenzi sababu nawaogopa sana wanawake

HMJ

Senior Member
Apr 24, 2013
157
20
Nina miaka 20 but sijawahi kufanya mapenzi because huwa nawaogopa sana wanawake tangu nipo form one mpaka sasa.

Je, siwezi kupata madhara, na je umri gani kwa mtoto wa kiume unafaa kufanya mapenzi? Please nishaurini wakubwa, natamani kwel wanawake lakini naogopa UKIMWI!
 
Kama hujaamua kufanya mapenzi kwa dhati usifanye. Hakuna madhara yeyote, na you are doing great.
Am so proud of you.

Utaamua kufanya siku ukimpata unayempenda na ujihakikishie usalama wa afya yako.
 
Nina miaka 20 but cjawahi kufanya mapenz coz huwa nawaogopa xana wanawake tangu nipo form one mpaka xx,je cwez kupata madhara na je umri gan kwa mtt wa kiume unafaa kufanya mapenz? plz nishaurin wakubwa natamani kwel wanawake lkn naogopa UKIMWI...!!
hamna umri maalum ni wewe tu siku utakapoamua.
 
Dogo mbona umechelewa namna hiyo?! Khaaaaa! 20 yrs haujadoooo? Unasubiri iote kutu au?
 
nina miaka 20 but cjawahi kufanya mapenz coz huwa nawaogopa xana wanawake tangu nipo form one mpaka xx,je cwez kupata madhara na je umri gan kwa mtt wa kiume unafaa kufanya mapenz? Plz nishaurin wakubwa natamani kwel wanawake lkn naogopa ukimwi...!!
wala hujachelewa kufanya mapenzi mdogo wangu.la msingi ni kuelewa kuwa mwili wako ni wa muhimu sana na unamuwakilisha mungu.jitunze mpaka pale utakapo mpata mwenzi wa maisha huku ukimwomaba mungu ili mapenzi yake yatimie kwako.mungu hatakunyima anayefanana nawe kama utamheshimu kwa mwili wako.watu wanafanya mapenzi kwa mara ya kwanza wakiwa na umri zaidi ya wa kwako...........ukimwi upo...
 
Nina miaka 20 but cjawahi kufanya mapenz coz huwa nawaogopa xana wanawake tangu nipo form one mpaka xx,je cwez kupata madhara na je umri gan kwa mtt wa kiume unafaa kufanya mapenz? plz nishaurin wakubwa natamani kwel wanawake lkn naogopa UKIMWI...!!

sawa najua hukuwahi..
 
Dogo mbona umechelewa namna hiyo?! Khaaaaa! 20 yrs haujadoooo? Unasubiri iote kutu au?

Hongera ila jifunze kutopenda pia maana utakuja kuumizwa ukijakupenda na ndipo utakunywa sumu maana hauyajui machungu yake .

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Hongera sana mwanangu. Hakuna sifa yoyote kujitumbukiza kwenye mapenzi bila mpangilio. Hongera kwa kutambua thamani ya mwili wako. Usiuchezee wala kuuchafua, ni hekalu hilo.

Hata siku utakapoamua kuanza kufanya mapenzi, hakikisha umepima ukimwi na hepatitis b. Na baada ya hapo hakikisha unazingatia uzazi wa mpango wa kutumia condom.
 
nashukuru wakubwa kwa ushaur wenu thnx!!!
 
hapo hujamsaidia.assume ni mtoto wako ungempa ushauri huo??

Miaka 20 sio mtoto kabisa! Huyo hata kura anapiga na sheria ya inamtambua kama mtu mzima. Sasa kwanini mpk sasa hivi hajaanza kuonja mautamu
 
Dogo subiri mpaka ndoa mambo hayo yanaumri kuanzia 18yrs watakutenda usiponielewa utanikumbuka digitali hii oooh!
 
Nina miaka 20 but cjawahi kufanya mapenz coz huwa nawaogopa xana wanawake tangu nipo form one mpaka xx,je cwez kupata madhara na je umri gan kwa mtt wa kiume unafaa kufanya mapenz? plz nishaurin wakubwa natamani kwel wanawake lkn naogopa UKIMWI...!!

endelea kujitunza hivyo hivyo mwanangu, usijitafutie presha za mapema kwa mfano leo hii nimetoka kupima ngoma na mama ya mdogo, wakati nasubiria majibu nilikuwa na mawazo mengi kweli kweli, nikakumbuka uchafu wote nilioufanya lakini namshukuru Mungu nimetoka salama mimi na mama yako, hivyo kuavoid presha za namna hiyo ni vyema kujitunza mwanangu, mimi kama mzazi napenda kuona unatimiza malengo yako mbali mbali unayoyatamani maishani,usijiingize ktk mahusiano ktk umri mdogo ulionao.
 
Nina miaka 20 but cjawahi kufanya mapenz coz huwa nawaogopa xana wanawake tangu nipo form one mpaka xx,je cwez kupata madhara na je umri gan kwa mtt wa kiume unafaa kufanya mapenz? plz nishaurin wakubwa natamani kwel wanawake lkn naogopa UKIMWI...!!
Mi nakushauri kama unaweza ukae hivo maisha yako yote...i live that life....sijayaona hayo madhara...sio kwa kuwa kuna ukimwi...ila kwa kuwa kuna Mungu,zaidi sana Ndoa za miaka yetu hii ni headache. Welcome to the single living man.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom