Sijawaelewa utaratibu wa TCU kuomba chuo

Ryzen

JF-Expert Member
Dec 6, 2012
7,305
8,655
Walioelewa tafadhali tusaidiane hivi hii 50,000 ya ku apply bachelor ni unalipa mara moja tu au? Na je kuomba chuo nafasi za kuomba ni ngapi?
 
Salaam Mkuu,

TCU kwa sasa haihusiki katika udahili wa mwanafunzi katika taasisi za Elimu ya Juu. Badala yake, imebakia kama msimamizi tu.

Udahili hufanyika moja kwa moja chuoni, na kila chuo kina kiasi Fulani cha fedha wanachokihitaji ili uweze kuomba kudahiliwa.

Miaka ya Nyuma, waombaji walikuwa wakilipa Tsh 50,000 tu kwa Mara moja pekee. Lakini kwa sasa utaratibu umebadilika.
 
Muhas asubuhi waliweka 1000,kuaply watu walifurahi kweli saivi imebadilika inasoma 50000 duh.alafu ninayemsaidia nilishamwambia ni 1000.watueleweshe aisee 50000 kwa chuo kimoja?.seriously?
 
Ligogoma ok,na hiyo ya verification ya vyeti naifanyia chuoni hapo hapo au ntafanyia popote pale?na ada yake ni tsh ngapi?
 
Back
Top Bottom