Sijasikia Waziri Mkuu katika Baraza la mawaziri

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,385
73,978
Nilitegemea kwa vile amefanya mabadiriko ya Baraza la Mawaziri, Basi katika kuwataja Mawaziri wote aanze na Waziri Mkuu ambaye ni Mkuu wao. Au "protocol haiko hivyo? All in all nadhani yeye Ni Royal kwa Samia
 
😁😁😁
cHi.jpg
 
Kuna mawaziri wakuu wawili wameteuliwa wakawasimamie mawaziri. Huyu anatakiwa kujiuzulu.
 
Back
Top Bottom