Sijasikia ile Takbir ya kufurahishwa na hotuba ..! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sijasikia ile Takbir ya kufurahishwa na hotuba ..!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Safety last, Aug 31, 2011.

1. Safety last

Safety last JF-Expert Member

#1
Aug 31, 2011
Joined: Mar 24, 2011
Messages: 4,224
Likes Received: 164
Trophy Points: 160
Kwenye baraza la idi kwa mara ya kwanza Rais Jk ameongea kama kiongozi ndani msikiti wa gadafi ila kuna neno takbir huwa linatamkwa msikitini sijasikia ,au hotuba ilikuwa kinyume na matarajio!then Jk hawezi kusema salalei walei wa salam (s.a.w)

2. Safety last

Safety last JF-Expert Member

#2
Aug 31, 2011
Joined: Mar 24, 2011
Messages: 4,224
Likes Received: 164
Trophy Points: 160
Leo hotuba ilikuwa chungu kwa bakwata

3. Safety last

Safety last JF-Expert Member

#3
Aug 31, 2011
Joined: Mar 24, 2011
Messages: 4,224
Likes Received: 164
Trophy Points: 160
Laiti wangemweleza rais mkakati wa kuinua jumuiya za kislaam kuliko kulalama.

4. MaxShimba

MaxShimba JF-Expert Member

#4
Aug 31, 2011
Joined: Apr 11, 2008
Messages: 35,816
Likes Received: 129
Trophy Points: 160
Msikiti wa Gadafi!!! Majina mengine ya misikiti ni kituko sana. Labda khaadaafu alijenga huo, lol. Dezo kitu mbaya sana.

5. SaidAlly

SaidAlly JF-Expert Member

#5
Aug 31, 2011
Joined: Jan 22, 2011
Messages: 1,806
Likes Received: 648
Trophy Points: 280

Kwa yanayotokea Libya naona unaweza kufiria upendavyo ingawa Gadafi huyohuyo angekua anapata sifa nzuri inawezekana ungeona ni sahihi kuuita hivyo. Inawezekana kweli tunapenda dezo lakini kama uwezo wa kujenga wenyewe hatuna na tunahitaji kitu kama hicho tukatae kisa ni dezo?? Kuna shule ngapi za mission hadi makanisa yaliyojengwa hapa nchini kwa misaada kutoka nje na ni vp?? Sio dezo?? Nafikiri ni busara kujadili mambo kwa hoja mahsusi na kuweka vijidoa vya ulinganishi wa kidini. Tuepuke elements za udini kwa ni haki ya mtu kuabudu apendavyo na si kumuona mwingine si bora. Kama hupendi muachie mhusika, kama unapenda ruksa kujiunga nae then mambo yatakua vyedi!

Eid Mubarak!

6. MaxShimba

MaxShimba JF-Expert Member

#6
Aug 31, 2011
Joined: Apr 11, 2008
Messages: 35,816
Likes Received: 129
Trophy Points: 160
Yaani unasema na kukubali kuwa Allah anapenda dezo! Astakafulah. Sasa dezo imemifikisheni pabaya, maana aliye kupeni nyie dezo ni jangiri na fedha za wizi. Kumbe Allah anapenda fweza za wizi!!

7. SaidAlly

SaidAlly JF-Expert Member

#7
Aug 31, 2011
Joined: Jan 22, 2011
Messages: 1,806
Likes Received: 648
Trophy Points: 280

Ni uhuru wako kusema unayofikiri. Nimejaribu kukueleza tu umuhimu wa kuheshimiana katika imani kama haujanielewa poa, sipendi kuendelea zaidi kuhusu mtazamo wako maana mie naheshim imani za wengine ili nao waheshim ya kwangu lakin kama hawaheshim ya kwangu sifikiri jibu lake ni kupuuza ya kwao pia. Hongera kwa maoni yako!

8. MaxShimba

MaxShimba JF-Expert Member

#8
Aug 31, 2011
Joined: Apr 11, 2008
Messages: 35,816
Likes Received: 129
Trophy Points: 160
Sio kama ninavyo fikiri. Habari za Gadafi zipo wazi kwa kadamnasi. Jamma yule alikuwa jangiri, kaiba fedha za Libya, kauwa watu wasio na hatia, kabaka wale ladies wake, it is shame and sad nyie Waislam wa Tanzania kuchukuwa fedha za Jangili na kujengea Msikiti.

Ndio maana nauliza, hivi, kwanini Allah wenu anatumia na kukubali kutumia fedha za wizi? Why Allah is using stolen money to build mosques?

9. Nsiande

Nsiande JF-Expert Member

#9
Aug 31, 2011
Joined: Jul 27, 2009
Messages: 1,649
Likes Received: 15
Trophy Points: 135

Eid Mubarak Kaka,

10. Nyangomboli

Nyangomboli JF-Expert Member

#10
Aug 31, 2011
Joined: Nov 24, 2010
Messages: 2,312
Likes Received: 651
Trophy Points: 280

hajui atendalo naomba asamehewe.

11. nachid

nachid JF-Expert Member

#11
Aug 31, 2011
Joined: Apr 14, 2011
Messages: 898
Likes Received: 50
Trophy Points: 45

Mi sijaielewa sawasawa! au mimi tu?

12. Aggrey86

Aggrey86 JF-Expert Member

#12
Aug 31, 2011
Joined: Jun 26, 2011
Messages: 856
Likes Received: 2
Trophy Points: 35
Amezungumzia kitu gani hasa mkuu? Unaweza ukanieleza japo kwa kifupi2 mkuu 7bu sikupata nafasi ya kumsikiliza leo!

Loading...