Sijapenda: Naibu katibu mkuu wa Chadema mh Benson Kigaila kufanya kazi ya Utarishi!

FB_IMG_1574277425198.jpg

Chukua nukuu hiyo hapo MATAGA.

CCM bila polisi ni sawa na goli bila goalkeeper.
 
Hivi kusambaza barua za ofisi kutoka Chadema kwenda taasisi nyingine kama vile Bunge NEC au kwa Msajili wa vyama vya siasa ni kazi ya Naibu katibu mkuu?

Chadema heshimuni vyeo vya Watendaji wenu
Ulienda magufuli kuwa afisa manunuzi wa taifa?
Unajua ndege zilivyonunuliwa?
Unajua kwann sheria ziliundwa?
Unaijua sheria ya manunuzi ya Tanzania?
Vipi raisi awaits watengeneza ndege ikulu?
Wewe ni kikaragosi?
 
Back
Top Bottom