Sijapata unyumba kwa mke wangu miezi sita sasa

mito

JF-Expert Member
Jun 20, 2011
9,718
2,000
Kwa kuwa umempa sifa za alivyokuwa anaomba mechi hapo huenda ikawa hiyo mimba ndio sababu hivyo jitahidi kuvumilia kama itawezekana.

Ila sijawahi isikia hii. Hivyo hajisikii hata ukimgusa pia. Naweza amini kama ni kwa baadhi ya siku ila kwa miezii. Mmh
Mi pia sijawahi sikia kitu kama hiki. Kama mleta mada hajaongeza chumvi nadhani anashida nyingine zaidi ya ujauzito.
 

Money Penny

JF-Expert Member
Jun 20, 2016
12,607
2,000
Spare my ribs brow. Nmecheka sana
Mi pia sijawahi sikia kitu kama hiki. Kama mleta mada hajaongeza chumvi nadhani anashida nyingine zaidi ya ujauzito.
wanaume tuna majaribu sana aisee, vumilia chief ila usichoke kumshawishi kwa upendo na upole ipo siku na yeye yatamuamka atakupa tu.

pole sana.
miezi tisa au zaidi hujala unyumba hapo sasa kende si zitaburst
Mama ushauri
pole sana mkuu !nahs mkeo anasikia harufu fulan kwako inayomkera !akijiopne atakuja kukuambia ! pole sana !jikaze vumilia
mje na huku kuna mautamu Story: Money Penny ni nani lakini?!
 

cocochanel

JF-Expert Member
Oct 6, 2007
25,332
2,000
Mvumilie mimba huwa zinaletaga mabadiliko ya aina yake kivyake..

Anaweza kuja kuitaka hadi ukamkimbia akishajifungua.

Muongeleshe basi juu ya hayo kimahaba haswa labda utafanikiwa.. ila vumilia tu.. au muombe akupe raha kivyovyote nawe mwili wako ufurahie.
 

1562013

JF-Expert Member
Jan 3, 2017
852
1,000
Mimi wangu alikuwa hivyo hivyo, tangia nimuoe sikuwahi kuchepuka ila sasa nina michepuko miwili nakula maisha. Wife ananichunga balaa
 

Kalpana

JF-Expert Member
Jun 16, 2017
8,073
2,000
Mwambie asikunyime kabis hata kama.hajisikii vzr ajitahidi hata mara moja kwa wiki akupunguzie mzigo wa hizo mambo down
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom