ibesa mau
JF-Expert Member
- Sep 17, 2015
- 2,109
- 1,692
Najiuliza sana ni nini lengo la serikali? Lilikuwa kumdhurumu haki haki zake au kumlindia Mali zake.
Katika hali ya kawaida unaweza ukakesha kujiuliza swali hili usipate majibu , kwa sababu tumezoea Mara zote KAZI ya serkali ni kulinda RAIA na Mali zake, sasa serikali inayodhoofisha raia wake kwa kuwafukuza ili haki zao zipotee sijawahi kuona.
Nilikuwa na mwanasheria mmoja Leo jioni akawa anasema, mawakili walio enda south wameenda kupoteza muda, kwa sababu hukumu ilishatolewa na serikali haikukata rufaa ,huyo mkulima alichokifanya ni kwenda south kukazia hukumu, na sio kufungua kesi.
Tujifunze kulipa madeni, hii kesi imetuonyesha ni kwa jinsi gani watanzania tulivyo, tusivyo penda kulipa madeni