Sijapata kampuni sahihi ya kununua traffic, kama kuna yoyote anafahamu naomba anisaidie

Mar 26, 2018
72
59
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, mimi ni blogger ambaye nilikuwa natafuta traffic au kwa Kiswahili watazamaji wa blog yangu kwa kutumia Facebook, ila kutokana na hali kuwa ngumu nikabidi nibadili mbinu.

Sasa toka nimebadili mbinu na kuanza kununua traffic naambulia maroboti tu, kwa kifupi sijapata kampuni sahihi ya kununua traffic, kama kuna yoyote anafahamu msaada please.
 
kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu,mimi ni blogger ambaye nilikuwa natafuta traffic au kwa kiswahili watazamaji wa blog yangu kwa kutumia facebook, ila kutokana na hali kuwa ngumu nikabidi nibadili mbinu.

Sasa toka nimebadili mbinu na kuanza kununua traffic naambulia maroboti tuu,kwa kifupi sijapata kampuni sahihi ya kununu traffic,kama kuna yoyote anafahamu msaada please.
Unakosea Sana mkuu.
 
Tangaza facebook, insta na google wenyewe, dola 1 mpaka 5 unapata maelfu ya views kwenye ad yako (sio clicks), kutegemea na uzuri na mvuto wa hilo tangazo lako ndio utapata clicks.
 
Sasa toka nimebadili mbinu na kuanza kununua traffic naambulia maroboti tu, kwa kifupi sijapata kampuni sahihi ya kununua traffic, kama kuna yoyote anafahamu msaada please.
Pole sana kwa kuingizwa mjini. Traffic nyingi za kununua, kama hujanunua moja kwa moja kutoka kwa high traffic sites kama Google, facebook n.k utapoteza pesa tuu. Jaribu kujiuliza wateja wako ni akina nani, halafu wafuate huko na kuwaelimisha. Hii ni pamoja na kujibu maswali, halafu mwisho unaweka link ya blog yako, kwa maelezo zaidi.

Unaweza pia kufanya promotion kupitia youtube, ukafungua channel yako ukawa unaitangaza blog kupitia huko.
 
Facebook sheria ni nyingi hadi wakati mwingine wanaleta zengwe kwenye mambo ya halali,hiyo ya you tube sijui labda nijifunze
 
Back
Top Bottom