Sijaona tofauti ya vyama ya Upinzani na Ccm.

Oct 26, 2013
14
2
Ndugu zangu wana Jf,

Nimejaribu kufanya utafiti wa kina kutaka kujua tofauti katika Utendaji wa viongozi wa Kisiasa wa Upinzani na Chama Tawala hasa Wabunge katika Majimbo yao wanayosimamia kuleta Maendeleo kwa Wananchi.

Nimejaribu kujikita katika Mikoa 4 ambao Wabunge wengi ni wa Cdm na Ccm Kilimanjaro,Arusha,Mwanza,Iringa.

Katika mikoa hiyo Hasa mijini ukiangalia historia yaani (Maendeleo )yaliyopo kwa sasa na ukalinganisha ilipokuwa inapokelewa na Upinzani ni sawa hakuna Chochote kilichoongezeka zaidi ya Maneno yasiyo Kuwa na Matendo.
 
Mkuu umejiandaa kwa matusi ya wana CDM humu ndani au wewe ni mgeni hapa JF?

Back
Top Bottom