Sijaona mmasai mlemavu wa kuzaliwa iwe ulemavu wa viungo au wa ngozi

Wapo labda kama unawatafuta kwa wamasai wanaowasuka dada zetu mijini ndiyo utasema hawapo.

Swali lako nalifananisha na mtu aliyeuliza ulishawahi kumwona mzungu kipofu au chongo?

Alibino ni kwa nadra saana na sio kwa wamasai tu bali jamii nyingi za kitanzania waliuliwa angali wakiwa wachanga.
 
mkuu ni adimu sana kumuona mmasai mlemavu nimepita hadi huko vijijini kwao sijaona
 
Back
Top Bottom