Wanawaua wakiwa wachanga,hii alinisimulia mmasai pure.
Inakuwa siri ya ukoo ndo maana hakuna murder case baada ya mauaji
Umshukuru Mungu kama wewe huna kasoro na familia yako na ukoo wakoWakuu hivi hii jamii ya wenzetu Ni kwamba imebalikiwa? Au?
Je! Wewe ulishawahi kukutana na Masai mwenye ulemavu!!???
Wamasai ambao ni Waislamu wapo wachache sana. Zamani hawakuwepo,wanaanza kutokea miaka ya hivi majuzi.Sijawahi muona masai kavaa hijabu kwa wanawake
Wakuu hivi hii jamii ya wenzetu Ni kwamba imebalikiwa? Au?
Je! Wewe ulishawahi kukutana na Masai mwenye ulemavu!!???
YeuwiiKill dem before dem grow
ahahahaha Acha uongo kijana wangu ahaha,, mimi mmasai na ndevu mbona?Hata Mumasai mwenye ndevu hayupo
Chumvi sasa imezidi, hata ndevu?ahahahaha Acha uongo kijana wangu ahaha,, mimi mmasai na ndevu mbona?
UmemkamataIdeal umetoa kwa ITV katka kopindi cha dk 45. Acha watafiti watoe majibu tuone kwa nin albino . watoto wenye migongo wazi nk hawapo umasaini.