Elections 2010 Sijaona matokeo!!!!!!!!!

sijui nini

JF-Expert Member
Sep 29, 2010
2,553
1,285
Nashangaa sana...yaan sielewi kabisaaaaaaa!! khaaa...sijui kama wewe umegundua hili...kila nnapokutana na mtu nnaejua kabisa huyu ni ccm damu...nikimuuliza vipi matokeo..utasikia aaah..mi sijayaona kabisa...bado nasubiria..sijasikia lolote!! khe...!!!
 
Back
Top Bottom