Elections 2010 Sijaona habari za mpiganaji mwakyembe

mkume

Member
Oct 10, 2010
8
0
Yule hata kama akiwa upande wa pili bado ni mtu wetu, tusimtupe wadau CHADEMA ikishika dola lazima ataruka daraja tu. ANA ROHO YA KUPENDA NCHI YAKE.
 
Halina utata yeye kuchukua jimbo la Kyela ata Slaa anamkubali
 
Naye kajiharibia kwa kumnadi jk kwa nguvu zake zote. Wasokile wale watampa kaadhabu kadogo!!!
 
katika kampeni za jk hakuwahi kumnadimwakyembe kama alivyowanadi mafisadi. kwa jk mwakyembe ni adui mkubwa
 
WASHKAJI NILIKUWA NASKILIZA NEC LIVE KTK ITV,Dah HALI SI SHWALI KWA WANAMABADILIKO, NA NAZANI YALE MAJIMBO CCM WALIOCHAKACHUA MATOKEO YAKE YAMEFIKA NEC MAPEMA,ILA MAJIMBO YALIYOKO Mikoa KAMA MWNZA KILIMANJ SHINYANGA MBEYA MUSOMA NAONA BADO MCHAKATO WA KUCHAKACHUA BADO UNAENDELEA:nono:. pamoja
 
oh please NEC c'mon ! these are issues which will make us go to the street and demand the truth !!! you had no right to sum it all up there ! you had to leave it to majimbo........havent worked all day just celebrating small victories and these news now are SO TURNING ME OFF ! what should we do ? am just signing off, cant read this anymore..........NEC....NEC...how many times do i call your name ?
 
Back
Top Bottom