Sijamwelewa Mh. Ndugai leo

Wimana

JF-Expert Member
Jun 28, 2012
2,449
717
Wakati Bunge likiendelea na Mijadala kuhusu Wizara za Nishati na Madini, na ile ya Uchukuzi, Naibu Spika Job Ndugai alikuwa mtulivu na mwenye hekima tele kiasi cha my wife wangu kumsifia kuwa Ndugai ameanza kuwa na hekima mara baada ya Mbunge mmoja kumaliza kuchangia na Naibu Spika kusema; "Mheshimiwa Tunmdu Lissu, nimekuona, nitakupa nafasi mwishoni...."

Kiichonishangaza hadi anaahirisha kikao, Naibu Spika hakumpa nafasi Mheshimiwa Tundu Lissu, nimeshangaa na kujiuliza maana yake nini.
 
maana yake muda haukutosha au ulitaka waongoze muda wa nusu saa kwa mwongozo mmoja wa lisu na mawasiliano yalifanyika kati ya ndugai na lissu pale bungeni.usihofu
 
TUNDU LISSU angeishia kutukana tu maana imethibitishwa kuwa aliwahi kuugua maradhi ya akili
 
Unajua kuwa wakweli Ndugai inavyooneka ni mwehu kama siyo mwehu,basi hata siku moja hatumii akili yake katka maamzi bali anatumiwa na Luku V. Maana uelewa wa huyu jamaa Ndugai upo chini saaana,usawa wa sitonkeni.
 
maana yake muda haukutosha au ulitaka waongoze muda wa nusu saa kwa mwongozo mmoja wa lisu na mawasiliano yalifanyika kati ya ndugai na lissu pale bungeni.usihofu

Asante mkuu, nadhani ni vema watukumbuke na sisi tunaowafuatilia kwa njia ya Televesheni.
 
Kwa Mh. Job Ndungai, Hiyo mbona ni kawa tuu. Angekuwa Luku hapo angempa nafasi chap chap. Angekuwa Mwingulu, hata kuongeza muda wa mjadala angeomba bunge. Nasema, kama Ndungai anasomaga JF, mwambieni yeye ni Janga la Kitaifa. Bahati mbaya ni kuwa 2015 hata Kongwa hawatarudisha jina lake.
 
bora hakumpa maana kingenuka sababu tundu aliplan kumtetea tayari madogo zidi ya hoja za muhongo
 
TUNDU LISSU angeishia kutukana tu maana imethibitishwa kuwa aliwahi kuugua maradhi ya akili

mbona hata wewe unaumwa ugonjwa huohuo? Heri yeye aliugua na kupona kuliko wewe ambaye bado unaumwa! Badala ya kuchangia kilicholetwa unaangalia historia ya mtu?! Lisu ni sawa na wabunge 100 makini wa ccm na mnamgwaya kwani hata nafasi za kuchangia mnaogopa kumpa.
Grow upstair na sio kuongeza hips wewe!
 
Si bure wewe ni JOYCE MUKYA , starehe ya DJ
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom