Sijamuona Kongosho mke wangu hadi saa hii...

Mtoboasiri

JF-Expert Member
Aug 6, 2009
5,101
1,946
... najua mhalifu lazima atakuwa mtalaka wake (tena wa zamani) Bishanga. Kesho naua mtu jamani
Katavi nishikilie naua kesho, labda Kongosho arudi sasa hivi!
 
kwi kwi kwi kwi ......mwenye kisu kikali?
Una hela weye ya kushindana na bishanga?
Ukitaka habari yangu muulize Nyani Ngabu.
 
Last edited by a moderator:
kwi kwi kwi kwi ......mwenye kisu kikali?
Una hela weye ya kushindana na bishanga?
Ukitaka habari yangu muulize Nyani Ngabu.

Siku yako inakuja utakapokiona kisu chako ni butu! Hela yenyewe unayoturingishia ni ile ya kukopa FINCA? Si itaisha hiyo tuone kama Kongosho atabaki kwako.
 
nilimuona mitaa flan ila sikujua anaelekea wapi .......alipiga umini wa hatari
 
Back
Top Bottom