Sijamuelewa Prof Mbarawa kwenye suala la ununuzi wa MV Dar es salaam!

Kasimba G

JF-Expert Member
Jan 19, 2011
3,428
2,611
Wandugu!

Kama muhandisi najua kuwa wakati wa utangazaji zabuni huwa kuna uzingatiaji wa kitu kinaitwa engineers ????? be it estimate, specification et ell!

Kwenye suala la kivuko as per Prof, specificatiom ilitakiwa 20unit lakini boti iliyokuwa imeingizwa ni ya 15.7 unit!

Je specification ilizingatiwa? kwa uelewa wangu kama ukimiss specification tender inakuwa void! au sijui labda sheria ya tendering zimebadirishwa????
 
Ukiuliza hilo swali sasa hivi unajibiwa "rais hazungumzwi vibaya" kumbuka yeye ndio alikuwa waziri kwenye wizara hiyo sasa sijui ilikuwaje wakapokea kivuko kilicho tengenezwa kwa unit tofauti mpaka kilipo haribika ndio wanasema hakikutengenezwa kufuata maagizo?! hii nchi kweli ni ya mazombi baada ya yeye kula huko leo anasema kula ni jipu ila yake yamepotea baada ya kuwa mkuu na sasa yamegeuka nundu ya mafuta. Pole yetu sie.
 
Ukiuliza hilo swali sasa hivi unajibiwa "rais hazungumzwi vibaya" kumbuka yeye ndio alikuwa waziri kwenye wizara hiyo sasa sijui ilikuwaje wakapokea kivuko kilicho tengenezwa kwa unit tofauti mpaka kilipo haribika ndio wanasema hakikutengenezwa kufuata maagizo?!

Kazi ya waziri sio kupokea vivuko au mali zilizonunuliwa toka nje.Kuna wahusika waliopokea huo mzigo na waliosaini na kutoa hizo tenda ambao ni watendaji.Waziri huwa haingii kwenye kamati za tenda wala si mhusika na manunuzi.

mumemshupalia utafikiri yeye ndie alienda dukani kununua.Wahussika ni mainjinia na watu wa manunuzi wa wizara.Wengine alishawatumbua kama hamjui
 
Kwa kuwa inamuhusu malaika na mjadala ukafungwa?!
 
Kazi ya waziri sio kupokea vivuko au mali zilizonunuliwa toka nje.Kuna wahusika waliopokea huo mzigo na waliosaini na kutoa hizo tenda ambao ni watendaji.Waziri huwa haingii kwenye kamati za tenda wala si mhusika na manunuzi.

mumemshupalia utafikiri yeye ndie alienda dukani kununua.Wahussika ni mainjinia na watu wa manunuzi wa wizara.Wengine alishawatumbua kama hamjui
Nyie watu naona Lumumba wamewaachia akili yakuvukia Barabara nakuona Mlango wa Chooni tu nyingine Katibu mkuu kazifungia kwenye Droo ya chama!
 
Kazi ya waziri sio kupokea vivuko au mali zilizonunuliwa toka nje.Kuna wahusika waliopokea huo mzigo na waliosaini na kutoa hizo tenda ambao ni watendaji.Waziri huwa haingii kwenye kamati za tenda wala si mhusika na manunuzi.

mumemshupalia utafikiri yeye ndie alienda dukani kununua.Wahussika ni mainjinia na watu wa manunuzi wa wizara.Wengine alishawatumbua kama hamjui
Najua siku injinia akiwa Rais kupitia chama chako pia utakuja na habari ya yeye hausiki, anaehusika ni waziri kwa kuwa ndiye kiongozi wa wizara, unatia AIBU.
 
Mpaka VAT ya TRA haikulipwa!!!! Nani aliichukua pesa ya VAT katika kipindi hiki ambacho kabla ya taarifa ya habari kuna tangazo la kulipa kodi !!!!!kweli wizara ya ujenzi haikuliona hilo?VAT ilikuwa tsh ngapi na iko wap
 
Hakuna hati ya makabidhiano mpaka sasa ikimaanisha kivuko bado kupokelewa na serikali kutokana na kasi yake si iliyomo kwenye mikataba. Kama angekuwa alikula hiyo hela ya hao wakandarasi si angelazimisha kivuko kipokelewe. Kumbuka ni huyu huyu Rais wetu akiwa Waziri wa ujenzi alikataa kuipokea barabara ya Kilwa road kutokana na kujengwa chini ya kiwango pamoja na kuwa ilikuwa ni ya msaada toka Japan na mkandarasi alikuwa kampuni kutoka Japani. Tutafute hoja zenye tija kwa Taifa.
 
Kazi ya waziri sio kupokea vivuko au mali zilizonunuliwa toka nje.Kuna wahusika waliopokea huo mzigo na waliosaini na kutoa hizo tenda ambao ni watendaji.Waziri huwa haingii kwenye kamati za tenda wala si mhusika na manunuzi.

mumemshupalia utafikiri yeye ndie alienda dukani kununua.Wahussika ni mainjinia na watu wa manunuzi wa wizara.Wengine alishawatumbua kama hamjui

mbona alienda kupokea, kwani hata alikuwa waziri wa uchukuzi?
 
Wandugu!

Kama muhandisi najua kuwa wakati wa utangazaji zabuni huwa kuna uzingatiaji wa kitu kinaitwa engineers ????? be it estimate, specification et ell!

Kwenye suala la kivuko as per Prof, specificatiom ilitakiwa 20unit lakini boti iliyokuwa imeingizwa ni ya 15.7 unit!

Je specification ilizingatiwa? kwa uelewa wangu kama ukimiss specification tender inakuwa void! au sijui labda sheria ya tendering zimebadirishwa????

Eti na kwamba taratibu za zabuni/ununuzi zilifuatwa, mimi naona pia utaratibu kufuatwa siyo concern yetu swala linalolalamikiwa ni value for money
 
Kazi ya waziri sio kupokea vivuko au mali zilizonunuliwa toka nje.Kuna wahusika waliopokea huo mzigo na waliosaini na kutoa hizo tenda ambao ni watendaji.Waziri huwa haingii kwenye kamati za tenda wala si mhusika na manunuzi.

mumemshupalia utafikiri yeye ndie alienda dukani kununua.Wahussika ni mainjinia na watu wa manunuzi wa wizara.Wengine alishawatumbua kama hamjui
Hao mainjinia aliwawajibisha baada ya kugundua wamefanya faulo kwenye manunuzi?
 
Wandugu!

Kama muhandisi najua kuwa wakati wa utangazaji zabuni huwa kuna uzingatiaji wa kitu kinaitwa engineers ????? be it estimate, specification et ell!

Kwenye suala la kivuko as per Prof, specificatiom ilitakiwa 20unit lakini boti iliyokuwa imeingizwa ni ya 15.7 unit!

Je specification ilizingatiwa? kwa uelewa wangu kama ukimiss specification tender inakuwa void! au sijui labda sheria ya tendering zimebadirishwa????
kwa nini unadhani wewe ndie mhandisi pekee .
 
Hapo JPM hana ujanja na hana pa kukwepa! Hili lake hadi ukamilifu wa dahari! Ije siku afyatuke aseme kama ni shinikizo au nini kilikuwa nyuma ya ule ununuzi wa ajabu kutokea duniani! Ama la lile boat litamtesa sana!!
 
Hakuna hati ya makabidhiano mpaka sasa ikimaanisha kivuko bado kupokelewa na serikali kutokana na kasi yake si iliyomo kwenye mikataba. Kama angekuwa alikula hiyo hela ya hao wakandarasi si angelazimisha kivuko kipokelewe. Kumbuka ni huyu huyu Rais wetu akiwa Waziri wa ujenzi alikataa kuipokea barabara ya Kilwa road kutokana na kujengwa chini ya kiwango pamoja na kuwa ilikuwa ni ya msaada toka Japan na mkandarasi alikuwa kampuni kutoka Japani. Tutafute hoja zenye tija kwa Taifa.
mkuu sasa kivuko kitaanzaje kufanya kazi kabla hakijapokelewa. Kumbuka hiki kivuko tayari kimeajiri watu wanafanyakazi. Hivi kweli kitu hicho kinaweza kutokea?? Kwamba hatujakabidhiana gari nililokuuzia, lakini unalitumia kwa shughuli zako za biashara? sijakuelewa hebu fafanua kidogo hapo mkuu.
 
Kazi ya waziri sio kupokea vivuko au mali zilizonunuliwa toka nje.Kuna wahusika waliopokea huo mzigo na waliosaini na kutoa hizo tenda ambao ni watendaji.Waziri huwa haingii kwenye kamati za tenda wala si mhusika na manunuzi.

mumemshupalia utafikiri yeye ndie alienda dukani kununua.Wahussika ni mainjinia na watu wa manunuzi wa wizara.Wengine alishawatumbua kama hamjui

ELIMU
ELIMU
ELIMU

Hii ndio shida ya kukataa mabadiliko ya kweli.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom