Sijamuelewa member mwenzetu wa JF Juliana Shoza

Kazitunayo

JF-Expert Member
Mar 30, 2013
3,773
3,160
Wakuu kama mmeona jioni ya leo bungeni kupitia TBC 2 alichosema juliana shoza kama kuna mtu kamuelewa binafsi sijaona akitaja vifungu vya sheria husika kama walivyosema wenzie ila nimeshuhudia tu akimshambulia Mbowe na lowasa tu na baadae kuunga mkono hoja
 
Huyu ni mmoja wa wabunge ambae hajui cha kufanya mle ndani bungeni.
Kwaiyo kama amefanya hilo unalolisema wala haishangazi.
 
Shonza si wa kumshangaa huyo !!!. Anarudishia fazila na eti huyo naye analamba per dm 300000/ na mshahara wa 12000000/ ?!! Upotezaji wa rasilmali
 
Back
Top Bottom