Sijamuelewa Lowassa

Nkungulume

JF-Expert Member
Nov 25, 2015
2,988
1,209
Katika ukurasa wake wa facebook leo Lowassa ametakia watanzania kheri ya mwaka mpya na kudai kuwa yeye ni rais wa mioyo ya watanzania.

Sijamuelewa alikuwa na maana gani
 
Last edited by a moderator:
Kwa bahati mbaya hata kwenye coalition ya kinafiki hawatambui hilo analo dai labda tumpime ufahamu wake labda ana mapungufu.
 
Katika ukurasa wake wa face book leo Lowasa ametakia watanzania kheri ya mwaka mpya na kudai kuwa yeye ni rais wa mioyo ya watanzania
Sijamwelewa alikuwa na maana gani
Sasa kama hujamuelewa unataka nani akueleweshe?
 
Rais wa mioyo ya watu!!

Huyo sijawahi muona miongoni mwa marais wa sehemu mbalimbali..
 
Katika ukurasa wake wa face book leo Lowasa ametakia watanzania kheri ya mwaka mpya na kudai kuwa yeye ni rais wa mioyo ya watanzania
Sijamwelewa alikuwa na maana gani
ili tuamini hayo unayosema ulipaswa walau utupie ka screen shot ka hizo salamu za EL. uongo hautakufikisha popote!
 
Katika ukurasa wake wa face book leo Lowasa ametakia watanzania kheri ya mwaka mpya na kudai kuwa yeye ni rais wa mioyo ya watanzania
Sijamwelewa alikuwa na maana gani
mbona hiyo post ukurasa wake wa fb haipoo??
acha kutungaaa
 
Back
Top Bottom