Sijalielewa jibu lake!!!

Sumbalawinyo

JF-Expert Member
Sep 22, 2009
1,282
247
Habari ya mapimziko.
Mapenzi ni ujinga na ujinga huu ndio unaonisumbua.
Ni kawaida yetu mimi na wangu mwandani kunyoana kila jumamosi ya katikati ya mwezi na mwishoni mwa mwezi.
Kilichonikera jana usiku baada ya kuoga nikawa namsubiri mwenzangu aje tunyoe kisha tulale.
Alipokuja nikashangaa mwenzangu ana upara, nikamuuliza umekuaje, akanijibu eti amenyoa alipo enda saluni.
Kwa kweli nimeishiwa nguvu, maana nahisi sio muaminifu, hivi ni saluni gani wanayonyoa nywele za kwapani na za uvunguni?
 
yaani huyo mkeo alshindwa kukujulisha mapema kuwa leo anaenda kunyolewa mitaani ili mwende wote?
Mume b'wege kaa chini ufikiri mali zako zinaliwa
 
Kama ni hivyo aliteleza tu maana siku zote unamnyoa mwenyewe
sasa leo kanyolewa na wenzio kwa bahati mbaya. Yaani kama ni
mara ya kwanza huyo kateleza wenzio kila siku wake zao wananyolewa
wananyolewa huko mitaani wewe siku moja tu kwa nini unune?
 
Lazima atest, akinyolewa nje inakuwaje? Alitaka ajue different style ya kushika wembe ili uje ufurahie kunyolewa.
 
Mmmh naona mtaniharibia upako subirini niende ibadani kwanza
 
Labda ulikuwa haumnyoi vizuri. Ameamua kujaribu sehemu nyingine, pole sana.
 
Mhhh nina mashaka alipita kwa mshikaji wake jamaa akaona msitu akaamua kuunyoa akala mzigo ndo akaja kwako
Unaibiwa mchana kweupe
 
Lazima atest, akinyolewa nje inakuwaje? Alitaka ajue different style ya kushika wembe ili uje ufurahie kunyolewa.

yaaahh ni vema kutoka nje na kujifunza zaidi..... ni kama seminar kwa wafanyakazi huongeza ufanisi
 
minyoo ina staili zake mkuu.....
labda ulikuwa ukimnyoa stail moja kila mara, imemchosha kaamua kutafuta ma-professional!!
ukiona manyoya usiulize...wahuni wameshakaa kati hapo, pole sana
 
Siamini kama kuna salon za kunyoa hyo kitu.
Zipo zile Unisex, ambapo mnyozi mwanamke hunyoa madume na dume hunyoa wanawake!
Sumbalawinyo Mkuu, UMENYOLEWA!
Sasa na wewe Jumamoso ijayo tafuta saloni mdada akunyoe baadaye uende kubadilishana experience na mwandani wako!
 
Ndio ukome!

Mapenzi gani hayo mpaka kuingiliana privace?
Na bado mwisho wa mwezi utakuta ''golden hair'' ndio uchanganyikiwe kabisa.

Kufanya mara mojamoja kwa ridhaa ya mhusika sio mbaya ila unapogeuza kuwa ndio sheria na taratibu matokeo yake ndio hayo.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom