Sijajua safari hii CCM ikitaka kupasuka katikati nani atainusuru kwa sababu mzee Mkapa hayupo

Hii ni turbulence tuu angani hazimsumbui Pilot kuendelea na safari, kunapotokea regime changes ambao watatemwa kwenye system wakubaliane na yote maana kila enzi na kitabu chake, hapa ni nongwa tuu za wafa maji ila CCM itasimama na kuendelea kuliongoza hili Taifa.
 
Kiukweli kwa sasa endapo CCM watavurugana sijui ni nani mwenye ubabe wa kulinyamazisha kundi lolote.

Wakati ule wa Lowasa kuelekea Ufipa ashukuriwe sana anko Ben vinginevyo chama kilikuwa kinapasuka.

Mungu wa mbinguni ilinde CCM isiyumbe kwa sababu ikiyumba na nchi itayumba!
Yaani Mungu ailinde sisiem isipasuke, hebu kuwa serious na mambo ya msingi
 
Trillion 20 zimetumikaje ndo jambo muhimu
Kuwa report zote za CAG alikuwa hasomi au! Bajeti ya Bunge alikuwa hasomi au ? Kuna sehemu inasoma Hili na Hili bajeti yake itagharimiwa na mikopo alikuwa hasomi au? Sasa aende kwenye bajeti akasome kwanza vyote vilivyosemwa vitagharimiwa na mikopo Ni kiasi gani asitupe homework jamii forums aanzie hapo kwanza alete hesabu ya hicho kwa miaka mitano

Sababu yeye ndie mshinda bungeni au huwa anashinda anasinzia bajeti waziri wa fedha akisoma kuwa shilingi kadhaa zitatokana na mikopo? Anakoroma anaota kwao?

Aende kwenye Habsarc stupid
 
Wewe ni mataga aliyepooza
Wacha iyumbe na ipasuke Mungu alete njia pasipo na njia awaibue watu wapya kabisa waifikishe nchi yetu mbali.

Nyie CCM, Chadema,ACT wazalendo ni wanasiasa ambao mketuzoea sana wananchi kiasi kwamba mmegeuza wananchi kuwa wendawazimu wenu.

Ifike mahali Mungu mwenyewe atuondoe kwenye mikono yenu isiyo salama mmetuchosha sana.

Sasa hivi mfumuko wa Bei ni mkubwa ninyi mmeungana kuwa mnaongelea mambo yenu mnayofaidika nayo tu.

Hamtaki hata kusema wananchi mbali na mabadiliko ya Hali ya hewa na Tabia nchi hebu mrejeeni Mungu mvua zinyeshe mazao yapatikane.

Tunawaombea mpasuke tu
 
Kuwa report zote za CAG alikuwa hasomi au! Bajeti ya Bunge alikuwa hasomi au ? Kuna sehemu inasoma Hili na Hili bajeti yake itagharimiwa na mikopo alikuwa hasomi au? Sasa aende kwenye bajeti akasome kwanza vyote vilivyosemwa vitagharimiwa na mikopo Ni kiasi gani asitupe homework jamii forums aanzie hapo kwanza alete hesabu ya hicho kwa miaka mitano

Sababu yeye ndie mshinda bungeni au huwa anashinda anasinzia bajeti waziri wa fedha akisoma kuwa shilingi kadhaa zitatokana na mikopo? Anakoroma anaota kwao?

Aende kwenye Habsarc stupid
Tunataka special audit ifanyike sio asomi
Kwan Kama.fedha zimetumika vizuri shida iko wapi Mkuu
 
Hii ni turbulence tuu angani hazimsumbui Pilot kuendelea na safari, kunapotokea regime changes ambao watatemwa kwenye system wakubaliane na yote maana kila enzi na kitabu chake, hapa ni nongwa tuu za wafa maji ila CCM itasimama na kuendelea kuliongoza hili Taifa.
Hawataki kutemwa wakitemwa utasikia mama anadondoka kabila letu hawajui kila zama na kitabu chake
Rais hawez kuwa na watu wasio mtii
 
Kiukweli kwa sasa endapo CCM watavurugana sijui ni nani mwenye ubabe wa kulinyamazisha kundi lolote.

Wakati ule wa Lowasa kuelekea Ufipa ashukuriwe sana anko Ben vinginevyo chama kilikuwa kinapasuka.

Mungu wa mbinguni ilinde CCM isiyumbe kwa sababu ikiyumba na nchi itayumba!
Mungu hasimami upande wa Shetani
 
Back
Top Bottom