johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,897
- 141,831
Hizi siasa zitapita na maisha lazima yaendelee.
Ninapingana na Freeman kiitikadi lakini hilo halinifanyi nimuone adui bali mshindani katika siasa za kujenga.
Siyo kwamba nawalaumu Wakudadavuwa hapana, hawa siasa wameanza juzi lakini Freeman tumekuwa naye tangia Tanu Youth League.
Nakumbuka alivyokuwa akijenga hoja za kizalendo pale mwananyamala kwa hayati mzee Saidi Tanu wakiwepo pia John, Makongoro na baba yao mdogo Joseph Nyerere.
Kama umezaliwa juzi unaweza kuamini siasa ni uadui lakini kiukweli James Mbatia anaweza kuwa ni CCM damu kuliko January au Nape kwa sababu wengine ni wanaccm kwa " kurithi"
Mungu ni mwema Wakati Wote!