Sijajua kwanini Wanasiasa maskini ndio wanamchukia sana Freeman Mbowe, hawa Wanaodadavua

Siasa siyo uadui bwashee!
Huu mtazamo ndio Sasa tunapaswa kuwa nao bila kujali upande wa CCM au CDM.

TATIZO moja kwa CCM hawamini kuwa uongozi Ni kwa zamu na wananchi ndio wanaopanga zamu iwe ya Nani.
Wao wanaamini wananchi Ni lazima wawape wao zamu zote za kuongiza.
Na wasipowapa Basi watajipa wenyewe kwa lazima, na hapa ndipo kwenye shida!
 
Nimekuelewa bwashee!
 
Back
Top Bottom