Sijafungwa Kifungo cha Maisha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sijafungwa Kifungo cha Maisha

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by kiraia, Dec 22, 2010.

 1. kiraia

  kiraia JF Gold Member

  #1
  Dec 22, 2010
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 1,614
  Likes Received: 268
  Trophy Points: 180
  Wakiwa kitandani kwa mara ya kwanza Bibi harusi alimwambia bwana harusi” Honey unajua mimi bado bikra kwahiyo sijui chochote kuhusu mahaba/mapenzi. Unaweza kunielezea nini chakufanya kwa mara ya kwanza?
  “Sawa Honey ni jambo rahisi sana” akajibu bwana harusi. Sasa ni hivi…hizo sehemu zako za siri tuziite GEREZANI na zangu tuziite MFUNGWA.
  Tutakachofanya sasa ni kumuingiza MFUNGWA GEREZANI... bi harusi akajikuta anafanya mapenzi kwa mara ya kwanza.


  Baada ya shughuli hiyo nzito Bwanaharusi akalala chali huku akitabasamu kwa ridhiko alopata. Mara akamsikia bi harusi akimtonya; “honey naona MFUNGWA katoroka GEREZANI” Bwanaharusi akamgeukia bibi harusi wake kwa tabasamu na kusema "Itabidi tumrudishe tena GEREZANI!" Baada ya round ya pili jamaa akataka kuamka ili avute sigara yake wakati bi harusi aki-enjoy experience yake mpya katika mapenzi. Kabla hajatoa mguu wa pili kitandani Bi harusi akamgusa mumewe huku akitabasamu na kusema “Honey MFUNGWA ametoroka tena” jamaa ikabidi akubali kumrudisha Mfungwa Gerezani.
  Mchezo ukawa hivyo hivyo mfungwa akitoroka anarudishwa Gerezani hadi jamaa akawa hoi bin tabaani, jamaa akawa amechoka hadi miguu ikakosa nguvu! Kila akifikiria sasa atapumzika mara anasikia sauti "Honey MFUNGWA katoroka tena"
  Mwishowe jamaa akashindwa kuvumilia akamjibu kwa ukali "Alaaaaa! huyu MFUNGWA hajafungwa kifungo cha maisha ati!!!!!!!!!!!!"

   
 2. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #2
  Dec 22, 2010
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  I'm tired of this I've read it about 4X on different threads be creative!
   
 3. Mabel

  Mabel JF-Expert Member

  #3
  Dec 22, 2010
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 1,018
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Mkuu Kiraia unatisha, hii imetulia. Huyo askari magereza ni noma anakaba hadi tuta
  Umeongeza siku zangu za kuishi
   
 4. j

  jmisana Member

  #4
  Dec 22, 2010
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii kweli imekwenda shule,nimeipenda.
   
Loading...